Cesc Henry Sn
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 217
- 123
Habari za wikiendi wakuu,
Naomba kuuliza hivi hawa ndege warukao wana akili kama za samaki au inakuwaje kwenye ubongo wao?
Maana hapa kwangu huu mwezi sasa kuna vindege viwili ikifika alfajiri tu kukianza kukucha basi wanakuja kwenye madirisha na kuanza kugonga dirisha la kioo hata kama siku umepanga uchelewe kuamka wao ni wanagonga tuuuu na utaamka tu, yaani kama wana gombana na mwenzao kwa namna wanavyo jiona, hii upelekea kugonga kioo hata siku nzima hadi jioni giza likingia wanaondoka au labda tu nadhani njaa zikiwabana wanaenda kula ila wanarudi na kazi huwa ile ile.
Ukifukuza upande huu wao wanaenda upande mwingine, nimebaki niwavumilie tu labda watazoea
Nimeweka video fupi hapo unaweza kuona...Tapatalk Cloud - Downlaoad File VID_20170604_123213_01.mp4