Wawekeza kunyang'anywa vitalu vya ufugaji Kagera

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,067
Serikali imesema italazimika kuwanyang'anya vitalu vya ufugaji wawekezaji waliomilikishwa vitalu na ranchi ya taifa ya Misenyi iliyoko mkoani Kagera.

Hii ni kutokana na wawekezaji wa vitalu hivyo kushindwa kutimiza makubaliano yaliyoafikiwa.



 
Back
Top Bottom