Kwanini watu wa Dar wakipigwa bao hunyanyua chuki kwa waliowapiga bao?

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,624
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa,

Kabla ya yote husika na kichwa cha habali hapo juu,

Kuna mtindo wa siku nyingi ambao hufanywa na mafia wa Dar wanapopigwa bao na watu kutoka mikoani, huu mtindo haujaanza leo au jana ni wa kitambo sana hufanywa na mafia wa Dar ambao hupenda wao pekee ndo wabaki juu ya watu wa mikoa yote

Fuatana nami hapa uone ni watu wa ngapi ambao washapotezwa na mafia wa Dar kisa kuwa juu zaidi yao;

Aden Rage, huyu jamaa alipotezwa mapema sana kwenye game la football baada ya kuwa juu ya watu wote pale Msimbazi nadhani mtakua mnakumbuka.

Paul Makonda, huyu naye ilikuwa apotezwe lakini kwa kuwa ana ukaribu sana na anco magu ndo maana kabaki hapo alipo.

Jamal malinzi huyu mda si mrefu mafia wa Dar watampoteza.

Mbao FC hawa jamaa juzi walipotezwa pale Jamhuri baada ya kufungwa gol na refa hii yote ni michongo ya mafia wa Dar.

NyanI ngabu ukiangalia watu wengi wanaomchukia huyu mchizI wa USA wengi ni watu wa Dar na hiyo yote ni baada ya kuwapoteza kabisa humu Jamii Media.

Nawasilisha na wewe una weza ukaweka wako ambao washapotezwa na mafia wa Dar.
 
Ukienda dar sa11 asubui unakuta watu washakusanyika wanajadili wasicho kijua tena kwa bwembwe ili kahawa na kashata sisiwakwame kohoni...wababu wa dar hawapendi kuamkiwa wabibi nao wamo....na ukitaka kupata marafiki wengi dar kua mmbeya
 
wavivu dawa yao vijana wa panya wakiwa mitaan siku hiyo wanaume wa daa mapema nyumban
 
Back
Top Bottom