Massage Parlour eneo la Kariakoo.

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
143
Kutokana na kazi zangu za kutumia nguvu nahitaji kupumua kidogo. Huwa inanilazimu kwenda Kinondoni ambako ni mbali na foleni kali hasa wakati wa jioni. Wazee naomba mnijuze kuhusu Massage centre za mambo yetu maeneo ya Kariakoo ili nami nipate pumua hapa jirani.
 
kuna moja ipo pale maeneo ya akiba mkabala na cbe, unaweza kwenda hapo pia;ni karibu zaidi ukitokea kariakoo kuliko kwenda kinondoni
 
Huku. KijitonyAma saafi ukipiga Story unapewa na Bonus kiDogo...nimeeleweka

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hiyo kitu nzuri ufanyiwe na wadada wawili wote kwa pamoja waushambulie mwili wako ndo unapata full relaxation
 
Back
Top Bottom