Polisi wako eneo la Mwandege Azam wanakula rushwa

GNA

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
246
Reaction score
72
Mimi mwenyewe nimeona huu mchezo, kondakta anasimamisha gari, anakwenda kumpaa trafic elfu kumi, nimejaribu kumuuliza konda hiyo hela uliyompa ya nini, akaniambia ya operation, nikamuuliza operation gani, akasikitika tu, akaniambia kaka tunapigwa hela kweli, ndugu Sirro tupia macho police wa Azam Mwandege, njia ya kwenda Kilwa.

Chanzo: Mimi mwenyewe.
 
MIMI MWENYEWE NIMEONA HUU MCHEZO, KONDAKTA ANASIMAMISHA GARI, ANAKWENDA KUMPAA TRAFIC ELFU KUMI, NIMEJAEIBU KUMUULIZA KONDA HIYO HELA ULIYOMPA YA NINI, AKANIAMBIA YA OPERATION, NIKAMUULIZA OPERATION GANI, AKASIKITIKA TU, AKANIAMBIA KAKA TUNAPIGWA HELA KWELI, NDUGU SIRO TUPIA MACHO POLICE WA AZAM MWANDEGE, NJIA YA KWENDA KILWA.

CHANZO MIMI MWENYEWE.
Kumbe kapeleka mwenyewe
 
Mnataka polisi wetu wavae viatu vyenye vumbi? Hiyo ilisharuhusiwa wacheni wivu kwa askari wetu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mimi mwenyewe nimeona huu mchezo, kondakta anasimamisha gari, anakwenda kumpaa trafic elfu kumi, nimejaribu kumuuliza konda hiyo hela uliyompa ya nini, akaniambia ya operation, nikamuuliza operation gani, akasikitika tu, akaniambia kaka tunapigwa hela kweli, ndugu Sirro tupia macho police wa Azam Mwandege, njia ya kwenda Kilwa.

Chanzo: Mimi mwenyewe.

Siku nyingine mpige picha
 
Ni hela ya ku brashia viatu alisema dereva wa lori letu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
U
Mimi mwenyewe nimeona huu mchezo, kondakta anasimamisha gari, anakwenda kumpaa trafic elfu kumi, nimejaribu kumuuliza konda hiyo hela uliyompa ya nini, akaniambia ya operation, nikamuuliza operation gani, akasikitika tu, akaniambia kaka tunapigwa hela kweli, ndugu Sirro tupia macho police wa Azam Mwandege, njia ya kwenda Kilwa.

Chanzo: Mimi mwenyewe.
akuwa ni mcheza judo
 
Nadhani ktk mkoa wa pwani hiyo sehemu ndio makao makuu ya kupokelea rushwa!! Yaani unawakuta wamejazana pale ni vigumu kukatisha pale bila kupigwa mkono!!! Yono na tra nao ni hapo hapo!!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huyo unayemwambia alishasema hizo ni za kubrashia viatu .
Alisema 5000/-
Sasa kama wanapokea elfu 10000/- hapo wanafanya makosa,huwez kubrashia viatu kwa 10000/- mwongozo ulikuwa 5000/- tu
 
Pale polisi wanakuwa wengi. Ni ya watu wawili!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhan C ro awape maelekezo ya 5000/- yaani wakikamata gari ya 1 elf 5, ya pili elf 5 ili kuweka dhana ya Hela ya kubrashia viatu iwe 5000/-
 
Mimi mwenyewe nimeona huu mchezo, kondakta anasimamisha gari, anakwenda kumpaa trafic elfu kumi, nimejaribu kumuuliza konda hiyo hela uliyompa ya nini, akaniambia ya operation, nikamuuliza operation gani, akasikitika tu, akaniambia kaka tunapigwa hela kweli, ndugu Sirro tupia macho police wa Azam Mwandege, njia ya kwenda Kilwa.

Chanzo: Mimi mwenyewe.
Kwa nini hukumkamata huyo kondakta na ukawapigia takukuru no 113?
 
Siku nyingine mpige picha

mhhh kuna siku jamaa alifanya hivyo yule askali akagundua kapigwa picha , kilichoendelea sitaki hata kusimulia maana ilikuwa si mchezo ndipo nilipoamini jamaa wana umoja wao wa kula rushwa tanzania. mda mfupi tu walijaa askali na simu yenyewe wakapasuana pale pale.[/QUOTE]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom