Mhe. Mbowe na Mhe. Joyce Mukya mtafanya hili suala kuwa siri mpaka lini?

Status
Not open for further replies.

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
wadau!!

Naoamba nielekeze hoja hii kwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani mh. Mbowe na Joyce Mukya mbunge wa viti maalumu CHADEMA.

Ni muda sasa umepita tumesikia mengi kuhusu uhusiano siri wa kimpaenzi unaendelea kati ya mh Mbowe na Joyce Mukya Lakin si mh mbowe wala joyce mukya aliyewahi kutoka hadharani kukanusha taarifa hii.

Ni wazi kuwa wote wamebaki kimya,hakuna anayetaka wala kusubutu kulitoka nadharani kuujulisha umma wa watanzania juu ya jambo hili,ikumbukwe kwamba ni hivi majuzi tu mh. Mbowe alituhumiwa kumbadilishia mh. Mukya safari mpaka kufikia hatua ya mh. Mbowe kumwandia spika barua ya kumwomba ambadikishie mh. Mukya safari ili aungane naye Dubai kula raha.

Ni wazi kabIsa kwamba haya ni maisha binafsi ya mh. Mbowe ila akiwa kama kiongozi anayepaswa kuwa kioo cha jamii alipaswa kuweka mambo yake ya uhusiano hadharani.

Ni majuzi tu kuna uzi uliletwa humu jamvinI na msemaji wa chadema kuwa mh. Mbowe na Lilian Mbowe walishaachana kitambo,lakini mleta uzi hakufafanuwa kiundani kwanini ilifikia hatua hiyo ya kuachana.

Swali la kujiuliza, kama kweli mh. Mbowe ameachana na Lilian kwanini basi asiweke mambo hadharani kuwa Mukya sasa ndiye mke wake?

Kwa upande mwingine au basi ni wazi kuwa anamuogopa mzee Mtei baba yake na Liliani kwamba endapo ataweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi atatimuliwa kwenye chama?

Je mh. Mbowe haoni kuna haja yeye kama kiongozi kuwa na mwanamke mmoja kama mke ili jamii ijifunze kutoka kwake?

Au basi tuamini kuwa yawezekana naye Joyce Mukya ni mke wa mtu?
 
Wewe ni nani unayefuatilia mambo binafsi ya mh mbowe? Tuambie ya kwako kwanza naye atakujuza kilichojiri.
 
Anasubiri kwanza liliani mtei akiondoka ndipo wataweka wazi mambo yao kwa sasa wanaficha kwanza eti kama hatujui wakati tunajua.
 
Kwa Baba riz Ana wake wangap?? Ulishawah kuuliza kuhusu Hilo?? Je riz na Yule alooa majuz n watoto wa mama salma?? Hebu tuongeleen mambo ya msing yanayogusa maisha yetu ya kila siku kwa maslah ya watz weng
 
Kwa Baba riz Ana wake wangap?? Ulishawah kuuliza kuhusu Hilo?? Je riz na Yule alooa majuz n watoto wa mama salma?? Hebu tuongeleen mambo ya msing yanayogusa maisha yetu ya kila siku kwa maslah ya watz weng.....tunaish na watoto weng sana wa vbosile Je tuje hapa na kuanza kutaja majina Yao?? Ili itusaidie nn wakat tuna matatizo chungu nzima ambayo yanaitaji kutatuliwa??
 
Saa 12 asubuhi mtu unawaza uhusiano wa wenzako badala ya kupata Morning Glory? Kweli frustration ni mbaya sana

upweke mbaya sana,angekuwa na honey hata asinge jilawa kuandika thread ya kujadili maisha ya watu. Badala yake angeamshwa ili agegedwe
 
Mbowe anapaswa aombe radhi jamii kwani hii ni aibu kutumia kodi za wananchi kwa mambo ya ngono hii ni aibu kwa Mbowe na Chadema.
 
Mbowe ni kiongozi wa kisiasa sio kiongozi wa kidini. si padre wala kadinali. Tukiweka wazi mambo ya watu wa ccm hapa patatosha kweli. maliza ya kile kibibi cha bagamoyo na yule yanki halafu kanywe chai
 
Mbowe ni kiongozi wa kisiasa sio kiongozi wa kidini. si padre wala kadinali. Tukiweka wazi mambo ya watu wa ccm hapa patatosha kweli. maliza ya kile kibibi cha bagamoyo na yule yanki halafu kanywe chai

hoja iliyopo mezani ni ya mbowe na mukya haya ya ccm wewe umeyatoa wapi tena kiukweli mbowe kashuka thamani sana mambo kayabananga hana maana tena.
 
Dada, hivi nani alisemaga kuna mltanzania ina wivu wa kike?

Inashangaza sana dume zima kumwonea mwanamke wivu. Laiti Mbowe angekuwa anamega vidume..... Malizia mwenyewe.

Ktk list ya waso rizki wa JF huyu jamaa namuadd aisee.
 
Nilitaka kukujibu ipasavyo lakini niliposoma post za wenzangu naona hakuna walichobakiza. Katafute maisha kijana kama unampenda Joyce mtafute kwa muda wako.
 
Kwa hiyo unaona wivu ama?
Wewe kama ni mwanaume utakua ni shoga tu.

Mbowe akiachana na Joyce ndio maisha yatapungua ugumu?
 
mkuu ww ndiye mbowe,mbna mnakuja na matusi badala ya kujibu hoja,au ndo tuseme nyie ndo wale mwingne akigegedwa we unakata kiunoo hili suala la mbowe naona limewauma sna vijana wa gongo

Yako mengi ya kujadili yenye manufaa kwa taifa siyo haya mambo personal.Hii siyo saluni ya kike ni forum ya GT sasa nyie kama mna vurugu za maono ni bora mkanyamaza kuliko kuonyesha up.umb.avu wenu asubuhi asubuhi.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom