Eti watanzania tunapenda nini?

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,491
8,301
Habari za jumapili.
Inajulikana kuwa kila nchi watu wake wanasifika kwa jambo fulani liwe zuri au baya. Mfano ni German na bia,russia na vodka,brazil na soka,japan na kazi. Somalia na vita, China na biashara,sasa sisi tunapenda nini?
 
Ubuyu, Ujuvi na Chuki
 
Back
Top Bottom