Sauti hiii ya nani?

Hii nchi hii. Sauti ya "Wema" hiyo tuliyoisikia kwenye mitandao ikiongea na sauti ya "Mbowe".
 
Sauti hii ukiisikiliza hata kabla haijafika mwisho utagundua ni ya kuigiza tofauti na hizo sauti ambazo zimesikilizwa awali, zile siyo sauti za kuigiza.
 
Back
Top Bottom