Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu 6 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Manyara kwa kukutwa na nyama ya Pundamilia pamoja na Dawa za kulevya aina ya Bangi na Mirungi.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Timu ya taifa ya England maarufu kama Three Lions pichani inapata mafunzo ya uzalendo jeshini. Si vibaya na sisi tukaiga mafunzo haya ya uzalendo kwa timu zetu za taifa jeshini.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Serengeti. Nyati amevamia Kijiji cha Nyamisingisi wilayani hapa Mkoa wa Mara na kujeruhi watu saba huku watatu kati yao watatu wakiwa katika hali mbaya. Ofisa Wanyamapori wilayani hapa, John...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kupombeka na aibu ya mwanamke...! Mwili wa mwanamke huathiriwa haraka na pombe, bila shaka hilo ni jambo linalofahamika kwa wale wanywaji na baadhi ya wasio wanywaji. Mwanamke ana mwili ambao...
1 Reactions
1 Replies
8K Views
mwaka Jana 2016 June tume ya Utumishi wa Mahakama iliajiri vijana 300 na kuwapangia vituo vya kazi na kuwapa pesa za kujikimu kila mmoja baadae waliwasimamisha kazi Wote chakushangaza kuna mtu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wanajamii mm nina mkakati wa kupanga safari ya kwenda kupanda mlim kilimanjaro oamoja na marafiki zang, lkn nimezunguka sehemu zite kuulizia bei ya hii ki2 lkn majibu ninayopewa hayalizishi sasa...
0 Reactions
3 Replies
773 Views
Dar es Salaam. Mmoja wa majeruhi wa ajali ya basi la Shule ya Lucky Vincent, Sadia Ismael ametembea kwa mara ya kwanza tangu alipopata ajali hiyo Mei 11, mwaka huu. Ajali hiyo iliyotokea katika...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habar zenu, Kwenye baadhi ya CV huwa na kipengele cha ''area of expertise'' , nataka kujua kama kipengele hichi kina ULAZIMA wa kuwepo kweny cv au inategemea na CV
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Kwa ufupi Baadhi ya matukio ya mauaji hasa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa yamekuwa yakihusishwa imani za kishirikina. Bukombe. Namagambo Malila (50) Mkazi wa Kijiji cha Bulumbaga, wilayani hapa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu Members Natarajia kuhama Jiji la Makonda kurudi Mkoani kuwekeza kwenye Kilimo. Hivyo nimeamua kuuza Nyumba yangu ambayo bado sijaimalizia kuiezeka kwa bei nafuu sana. Nyumba ipo Dar es...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Dada angu alimaliza form four mwaka 2004.... Matokeo ya kafutwa alafu Mungai alitangaza aliemalie futiwa haluhusiwi kufanya tena mtihani akaogopa.. Mwaka 2005 aka resit kama private candidate...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf Naomba maelezo ya wataalamu kwenye kwenye masuala ya fedha Je ipi inafaida zaidi kati ya USD saving account na Fixed Tsh account
0 Reactions
3 Replies
4K Views
MAMA YETU, SAMIAH SULUHU HASSAN (Makamu wa Rais), karibu Tarime, Mara, Tanzania..., lakini kamwe, kamwe...., usikubali kuingia kwenye sakata hili la ardhi inayoporwa, Tarime-vijijini.., waambie...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Taarifa kutoka mji mdogo wa Itigi mkoani Singida amefariki ghafla baada ya kapata mshtuko kwa kufungwa Juventus dhidi ya Real Madrid siku ya Jumamosi ktk fainali ya Champion League. Mr Aloyce...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Hili chuma linanidai transmitter maana humu linatumia old fashioned radio Addzest nilitamani nipate Transmitter yenye bluetooth kama hiyo.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wakuu bwana mdogo chuoni kwao kachelewa kusign form wanazolipiwa ada mkopo umeludishwa bodi ya mikopo msaada tafadhari tunaanzia wapi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za leo wanajamii naomba kujuzwa kuhusu suala la Paye, kama kampuni ni mpya ni lini wanafanyakazi wanatakiwa waanze kulipia, je ni pindi pale wanapoanza kulipwa mshahara au ni baada ya muda...
0 Reactions
4 Replies
961 Views
Salaam wana JF, Kama mada inavyodokeza, mimi niliwahi kuajiriwa serikalini kama mwalimu wa secondary kwa muda wa miaka minne. Baada ya hapo niliomba ruhusa ya kwenda masomoni kujiendeleza. Mara...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Vijana na watu wazima...Tafadhali jengeni nyumbani. Mijini mnaishi kwenye nyumba za kifahari sana. Kijijini ndugu/wazazi wanalala kwenye nyumba ina ma panya aibu. Ukifia mjini siku...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…