Wadau Car radio transmitter za bluetooth Dar nazipata wapi

Wadau Car radio transmitter za bluetooth Dar nazipata wapi

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,318
Reaction score
12,824
Hili chuma linanidai transmitter maana humu linatumia old fashioned radio Addzest nilitamani nipate Transmitter yenye bluetooth kama hiyo.
41A3kGE4J9L._SL500_SS120_.jpg
 
Wafanya Biashara Wa kitanzania bado hawajagundua hii biashara shatafuta sana mpaka kujwaa la teknolojia shapeleka uzi kuulizia hui kitu tapata wapi kwa hapa tz sikupata majibu so ni fursa nzuri sana hii KWA mfanya biashara Wa vifaa bya umeme kwani hizi bloototh tz hakuna
 
hizi sio zile modulator? zinafanyaje kazi? tuelimishane tafadhali wakuu
 
hizi sio zile modulator? zinafanyaje kazi? tuelimishane tafadhali wakuu
Mkuu zinafanya kazi kama hizi za machinga tunazonunua kwenye foleni, ila hizi za bluetooth zina advantage unaweza kucheza muziki from infinity bila kuhaso kv simu yako,ipod nk. ..Pia unaweza kupokea simu na ina advantage nyingine unapowasha gari inakuonyesha voltages za betri lako na advantages lukuki...ingekuja bongo hii mapema watu wangeacha au kupunguza kubadili redio za gari, na hii ni imara sana nimeziona kadhaa kwenye magari ya washkaji hapa job zinadunda miezi nenda rudi sio kama zile michina...cheki hapa
https://www.walmart.com/browse/electronics/fm-transmitters/3944_96469_133271_495742
 
Back
Top Bottom