Uzalendo Kwanza

ng'ombo

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
418
619
Timu ya taifa ya England maarufu kama Three Lions pichani inapata mafunzo ya uzalendo jeshini. Si vibaya na sisi tukaiga mafunzo haya ya uzalendo kwa timu zetu za taifa jeshini.
BU_qrN8gIip.jpg

BU_qrPDgmtU.jpg
 
Timu ya taifa ya England maarufu kama Three Lions pichani inapata mafunzo ya uzalendo jeshini. Si vibaya na sisi tukaiga mafunzo haya ya uzalendo kwa timu zetu za taifa jeshini.
View attachment 520232
View attachment 520233
Jeshi letu NCHINI ni Ngumu kufikia hatua hii...linajichukulia KUVAA TU SARE zinazo endana na za kwao kama NDIO TAYARI umefuzu ama umewachukulia KAZI YAO...!!

Hawatambui kama kuna Watu na VIPAJI wamejazana URAIANI wenye Mapenzi na Imani katika JESHI zaidi ya wale walio pelekwa na NDUGU kwa lengo tu WACHUME Mshahara..

Toka tu UMEVAA Pensi ama "KAWOSH" wengine wanaita "Singlendi"..

Ukikutana nao UTAJUTA KUZALIWA...!!
 
Uzalendo hujengwa na haki na usawa. Wewe utaimbishwa uzalendo ili ulipwe kidogo na upate huduma duni... Lakini wao wakitafuna uchumi wa nchi kilainiii.
 
Back
Top Bottom