MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Taarifa kutoka mji mdogo wa Itigi mkoani Singida amefariki ghafla baada ya kapata mshtuko kwa kufungwa Juventus dhidi ya Real Madrid siku ya Jumamosi ktk fainali ya Champion League.
Mr Aloyce alikuwa anaangalia mechi hiyo nyumbani kwake na marafiki zake lakini hakuamini kilichotokea na kapata mshtuko wa moyo na kufariki na inasemekana pressure ilishuka.
Alikuwa shabiki wa Juventus kwa takribani miaka 8 na aliipenda sana Juventus.