Nauza Kiwanja na Nyumba ambayo haijaezekwa kwa bei karibu na BURE

dereckkilaki

Member
May 28, 2017
7
5
Ndugu Members
Natarajia kuhama Jiji la Makonda kurudi Mkoani kuwekeza kwenye Kilimo.
Hivyo nimeamua kuuza Nyumba yangu ambayo bado sijaimalizia kuiezeka kwa bei nafuu sana.
Nyumba ipo Dar es Salaam sehemu inayoitwa Madale na ipo kwenye Kiwanja chenye Ukubwa wa Hatua 66 kwa 28. Ni Ghorofa Moja na nimeijenga mpaka kwenye Renta hivyo bado kumwaga Renta na kuiezeka. Ina Vyumba 4 juu na Chumba 1 chini pamoja na Dinning, Sitting Room, Jiko, Study Room Nk.
Pia hukohuko Madale nina Kiwanja chenye Ukubwa wa Hatua 46 kwa 60. Nacho nakiuza kwa bei nafuu sana.
Kwa maongezi ya bei na kuja kutembelea napatikana kwa namba ya simu 0786 294545
Karibuni
 
Hayo maelezo ungeyaweka kwenye namba za simu. Ukiweka hapa jukwaani tafadhali weka na bei hapa hapa, usilete taarifa nusu nusu.....otherwise siye wengine tutakutafsiri km wewe ni mtu wa ujanja ujanja, aidha tapeli...(tafadhali malizia tangazo hapa, watanzania ndio maana hatuaminiki huko nje....jambo dogo tunafanya ujanja ujanja)
 
mwenzenu maisha yamempiga nyie mnaleta utani... JPM alisema mpka kufka mwez wa sita wale waliokuwa wanaishi kijanja janja mjini watakuwa wameasharudi kijijin kulima.
 
Hiyo bei nafuu sana ni sh ngapi mkuu? Weka bei iwe rahisi kufanya biashara. Otherwise tangazo lako lina mapungufu makubwa. Hata picha halina... Au lengo lako sio kuuza bali kuturingishia ghorofa?
 
Back
Top Bottom