Faida za dollar saving account zidi ya fixed Tsh account

berno

Member
Mar 2, 2011
37
30
Habari zenu wana jf

Naomba maelezo ya wataalamu kwenye kwenye masuala ya fedha

Je ipi inafaida zaidi kati ya USD saving account na Fixed Tsh account
 
Us Dollar ikipanda thamani yake inamaanisha na hela uliyoweka inapanda thamani pia, Wakati Tsh kwenye fixed account huwa zinapisha Us ikipanda Tsh inashuka kama hali ilivyo sasa and vice versa
 
Us Dollar ikipanda thamani yake inamaanisha na hela uliyoweka inapanda thamani pia, Wakati Tsh kwenye fixed account huwa zinapisha Us ikipanda Tsh inashuka kama hali ilivyo sasa and vice versa
Kumbe ndio hivi mkuu
 
Back
Top Bottom