finance2014
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 314
- 79
Habari za leo wanajamii naomba kujuzwa kuhusu suala la Paye, kama kampuni ni mpya ni lini wanafanyakazi wanatakiwa waanze kulipia, je ni pindi pale wanapoanza kulipwa mshahara au ni baada ya muda fulani