Msaada wa majina haya katika cheti

lady in action

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
813
1,000
Dada angu alimaliza form four mwaka 2004.... Matokeo ya kafutwa alafu Mungai alitangaza aliemalie futiwa haluhusiwi kufanya tena mtihani akaogopa.. Mwaka 2005 aka resit kama private candidate.. Ila akabadili jina mfano....
Mwanzo aliitwa Godfrey john... Alipo rudia akabadili akawa God Juma ...na Cheri anacho Cheri chake cha kuzaliwa pamoja na cha chuo kimeandikwa God Juma john...hayo majina ni mfano tu...et kwa vyeti hivyo swala la uhakiki kabla ya ajira litaleta shida???? Naombeni kuuliza tu jaman
 
Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
22,798
2,000

Kama alifanya kama PC haruhusiwi kubadili jina kwenye mtihani wa F4.
 
Kashishi yetu

JF-Expert Member
Mar 22, 2014
2,366
2,000
Unasema alfutiwa matokeo, Akaambiwa hatakiwi kufanya mtihani kwa muda gani? Haya unasema alilisti na kufanya mtihani kama Private Candidate, Hapa hujafafanua, Je alianza kwa kufanya mtihani wa QT Na hatimae form four? Kama alilisiti form four peke yake maana yake ALITUMIA matokeo ya kidato cha Pili ili. kupata sifa za kufanya mtihani wa form four hebu fafanua vizuri Mkuu mada YAKO hiyo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom