scondo
Senior Member
- Dec 8, 2015
- 137
- 127
wanajamii mm nina mkakati wa kupanga safari ya kwenda kupanda mlim kilimanjaro oamoja na marafiki zang, lkn nimezunguka sehemu zite kuulizia bei ya hii ki2 lkn majibu ninayopewa hayalizishi sasa nilikuwa naomba kama una m2 umu ndani anajuwa ni process zipi unatakiwa upitie naomba unisaidie kwa hili, asanteni