Cesc Henry Sn
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 217
- 123
Habari wakuu,
AzamTV wana kipindi cha michezo maarufu kama Mshikemshike ambacho kinaruka baada ya taarifa ya habari ambacho mara nyingi lazima nikivizie kutazama sababu at least kuna ka wigo ka taarifa za michezo.
Ila cha kushangaza hawa jamaa leo hii awajarusha taarifa yoyote ya michuano ya SportPesa Super Cup, basi hata kwa still picture kuongelea matukio ya kimichezo ya mpira wa miguu yanayo endelea yakikata kiu ya wapenzi wa soka la ndani kwenye kipindi hiki ligi zikiwa zimeisha msimu huu.
Sasa najiuliza sababu iliyo fanya wasirushe na najua kwa makusudi wamefanya hivyo... Au walibaniwa tenda ya kurusha matangazo au michuano sababu inahusisha mdhamini wa kampuni ya kamali?
Hadi sasa sijaelewa, ila kwa tukio kama Yanga kushinda leo hii na Singida united kutolewa wasiweze kukupasha?