Tongolanga alikuwa wa Msumbiji au Tanzania?

chiumbimnungu

Senior Member
Mar 25, 2017
151
250
Katika kumbukumbu zangu msanii Tongolanga hakuwa wa hadhi ndogo kiasi cha msiba wake kudharaulika vile na viongozi haswaaa kisiasa wa Tanzania. Jamaa pamoja na kuwa ameimbia band nyingi lakini sikushuhudia kiongozi yoyote aliyekuja, pamoja na kupigiwa simu waziri mwakyembe lakini alilipokea jambo kwa mtindo wa Kawaida sanaaa yaani km kafa paka. Ila cha kushangaza ni vile viongozi wa msumbiji jinsi walivyojitoa kwa hali na mali katika msiba huu kuanzia balozi wa msumbiji nchini Tanzanian alihudhuria kwa taratibu Zote Waziri wa ulizi pia na yeye pamoja na kutoa rambirambi ya kutosha kabisa. Swali la msingi ni Msanii gani ambae serikali anaeleweka km Msanii ikiwa huyu alisajiriwa na basata pia inamaana viongozi wa msumbiji walimuona muhimu zaidi kuliko wa Tanzania wakati huyu alikuwa ni mtanzania!!!!
 

kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,787
2,000
Mwakyembe sidhani anajua muziki wala wanamuziki
Yupo yupo tuu
 

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
8,940
2,000
Mkuu tusamehe bure serikali yetu ipo busy kujenga viwanda vya vyerehani 4,4!
 

nessonlegend

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,619
2,000
Mkuu, kati ya Serikali za Duniani, serikali inayoongozwa na CCM ni ya kinafiki sana na hilo halipingiki. Yani ni Serikali ya kibaguzi sijapata ona. Labda wangetangaza kuwa ni msiba wa kanda ya Kusini hapo ungeona wanavyojiundia kamati ya RAMBIRAMBI.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom