Maxcom na mishahara ya wafanyakazi wake (Cashiers)

THEBLACKPEARL

Member
Jun 11, 2015
69
46
KAMPUNI YA MAXCOM HAIJAWALIPA WAFANYAKAZI WAKE (CASHIERS) MISHAHARA YAO MWEZI WA PILI SASA NA WANAWAKATA MADENI !

SWALI
KAMA HAUJAMLIPA MFANYAKAZI MSHAHARA WAKE MIEZI MIWILI UNATEGEMEA ATAFANYAJE KAZI NA ANAISHIJE HAWA WATU MBONA HAWANA HURUMA???????????

NDUGU WANAJAMII TUWASADIE HAWA WATU WAPEWE MISHAHARA YAO MAANA UKIPAZA SAUTI (kama mfanyakazi) WANATISHIA AU KUKUFUKUZA KAZI KABISA????

NA HII NI KAMPUNI AMBAYO INAINGIZA MABILIONI YA SHILINGI SASA INSHINDWAJE KUWALIPA PESA ZAO WAFANYAKAZI?????
 
Mm ndomana nikaamua kuacha apo mshahara tulikua tunauita wa tarehe 40
 
waajiri wanatumia udhaifu wa ukosefu wa ajira kuwanyonya wafanya kazi.

cheap labour wamekuwa wengi mhitimu wa chuo kikuu analipwa laki mbili bila mkataba.
 
Back
Top Bottom