Msaada wadau

Shilla boi

Member
Nov 20, 2016
8
1
Hivi kuweka headrest DVD kwenye gari( car back seat playerTV) huwa inawekwa kwenye gari yoyote au kuna magari maalum naomba msaada wa kueleweshwa juu ya hili.
 
Hivi kuweka headrest DVD kwenye gari( car back seat playerTV) huwa inawekwa kwenye gari yoyote au kuna magari maalum naomba msaada wa kueleweshwa juu ya hili.
Waache waje wenyewe me mwenzio ni mkulima wa makataa!
 
Inawekwa gari yoyote kikubwa ni kukubaliana na gharama iliyopo bro,inawezekana kabisa
 
Back
Top Bottom