Mto_Ngono
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 686
- 589
Nimeona hii kazi yangu hainisaidii barabarani wala katika shughuli zangu zingine ambazo zinahitaji ulinzi. Lakini pia hii kazi yangu bana hainipi sauti kubwa mbele ya jamii wala heshima ya haraka.. Hii kazi yangu bana ndo inaniongezea makosa na sipati taarifa za siri kutoka sehemu tofauti.. Hivi kwa nini niendelee kuifanya!!!
Hii kazi yangu hainisaidii kuogopeka nipitapo mbele za watu hata nikaapo watu huniona wa kawaida sana. Hii kazi yangu inanifanya niendelee kulipa fine za barabarani kibao hata kama kosa ni ndogo.
Aisee napenda kuwa polisi (trafiki ) au mwanajeshi.
Naamini nikiwa trafiki nitaepuka usumbufu wa barabarani mara huna leseni mara huna road license, mara matairi yameisha mara bima imeisha mara rangi ya gari yako haieleweki hapo ni kulipa fine tu
Najua nikiwa trafiki ntapata pesa ya mboga haraka, sitasimamishwa na wenzangu hata kama vibali vyote vimeisha, na nikiwa polisi ntajua siri na matendo mengi ya watu hata nikitaka taarifa za mke wangu ntazipata kiurahisi. Nikiwa mwanajeshi ntaheshimika sana katikati ya wana jamiii.. Wataogopa sana hata kunisema vibaya nidhamu za uoganitazipata kila mara pia ntakuwa tegemeo katika kutoa misaada haswa katika matukio hivyo kujijengea jina.
Sasa napenda kuwa polisi, trafiki au mwanajeshi. Gari vibali vimeisha kila kitu hakiko vizuri usumbufu tu halafu hawaelewi. Ukiwa katika kada hizo basi ni kutesa tu hata katika matukio unaweza pata unafuuu...
Najua nawe wapenda kuwa hivyo.