Msaada wa namna ya kukagua TIN yako Kama inadaiwa

Hii kitu ni muhimu sana kujua, nilikuwa na toyo ya biashara 2012, mwaka 2013 ikagongwa namshukuru Mungu dereva hakuumia, nikauza srepa nikaachana na biashara, juzi naenda kuchukua clearance nashushiwa hesabu kuwa nadaiwa kuuliza pikipiki, nimechoka mwili na roho, na wamekomaa nilipe hawataki stori.
 
Back
Top Bottom