Dunia - Rules of the game:
1. Dunia ni mapito.... kila nafsi itaonja mauti-
2. Tenda wema upate kuishi miaka mingi zaidi...
3. Wape haki zao wanaokuzunguka......usithubutu kuipoka haki ya...
Hii nimeiona kwa baadhi ya wachungaji akiwemo Rwakatale, Gwajima, Davie na yule wa Sloan. Lakini wakati mwingine hawa wachungaji ukiwakuta mitaani wanakuwa hawana ulinzi wowote, je pale...
Kama mnavyojua hali saivi ni tete japo sio kwa wote...
Kuna ka hela flani nmekapata sa nataka nikazalishe ili japo kupunguza njaa....
Pesa yenyewe ni 5M , mi nipo mkoani na wala sijawahi kufika...
Jamani Taifa letu linahitaji Maombi makubwa. Hili ibilisi shetani akae mbali nalo kabisa. Tusije kuwa kama Burundi, eee Mungu tusaidie sisi wana wa Nchi yako.
Katika kuonesha kwamba yuko serious na ishu ya mauaji na uvunjifu Wa amani unaoendelea mkoa wa pwani katika maeneo Hasa ya kibiti, mkuranga, jaribu, na maeneo mengineyo.
Leo 06 /06/2017 Amekwenda...
-Ukitaka mtu akuchukie sio tu JF hata mtaani, pinga vikali kile anachodhani ni sahihi...
-ukitaka matusi au kejeli nenda kinyume na kile ambacho wengi wanadhani ni sahihi...
- kuna jamaa...
NB; Askari wakiwa wameubeba mwili wa marehemu Luhende Lusangija.
Mwanamume aliyefahamika kwa jina la Luhende Lusangija (34) mkazi wa Mwinamila Kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga amekutwa...
Daaah, kiukweli usaliti ni kitu kibaya sn. Sipati picha siku huyu mama akiwa anapiga makofi kuimba kale ka wimbo pendwa ka ccm, wkt majuzi tu kabla ya kupewa ilani, iliisemea mbovu ilani hiyo...
Hivi Mwalimu angekuwa na mtizamo huu, 'mswahili' gani angemudu nyumba ya NHC. Hii miradi ya nyumba za NHC imelenga kuwafaidisha akina nani? Maana haiingii akilini kuwa mwananchi wa kawaida anaweza...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu watatu wanaodaiwa kuwa vinara wa kuwawekea watu dawa za kulevya kwenye vinywaji na vyakula katika vyombo vya usafiri.
Kamanda wa Polisi Mkoani...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, imewahukumu kifungo cha jumla ya miaka 60 jela washtakiwa watatu waliotiwa hatiani kwa kukutwa na mguu wa twiga kinyume cha sheria za wanyama pori...
Polisi mkoani Tabora wanawashikilia waganga wa jadi 27 wanaodaiwa kujihusisha na upigaji wa ramli chonganishi.
Mwandishi wa Azam TV aliyeko Tabora, Juma Kapipi, anasema hatua ni matokeo ya polisi...
Habari wakuu,
Kwa muda mrefu nimekuwa naipenda sana kazi ya Usalama wa Taifa. Ingawa najua kila mtanzania mzalendo ni Usalama wa Taifa lakini mimi naitaka kazi hii kwa urasmi kabisa.
Awali...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Susan Kaganda amechukizwa na kukemea vikali baadhi ya askari wa jeshi la polisi wanaobambikizia raia makosa ili kupewa rushwa nakusema hatowafumbia...
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya kwa kusaidiwa na ushahidi wa Baba mzazi wa Mshitakiwa imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Godfrey Sichizya(25) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua Babu yake ili...
Mfanyabiashara 'Pedeshee Ndama' kwa mara nyingine tena amekiri kosa la kutakatisha fedha ambazo ni dola za Marekani 540,000.
------
Awali, Mei 23 mwaka huu, Ndama alikiri kosa na Mahakama ya...