Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Utata umeibuka baada ya askari wa Jeshi la Polisi wa Mirerani wilayani Simanjiro (Manyara) kudaiwa kuwafyatulia mabomu ya machozi na kuwajeruhi wachimbaji wadogo saba wakiwa ndani ya mgodi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo nilipata muda wa kupumzisha mwili mahali fulani...lakini bahati mbaya mara zote sijawahi kufanikiwa kupumzisha akili....wakati nikiwa naangaza huku na huku kabla ya kupitiwa...
1 Reactions
2 Replies
682 Views
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Kigoma amefariki dunia Jana saa mbili usiku nyumbani kwake Buzebazeba Ujiji Kigoma. Kaimu Shehe wa Mkoa Alhaj Shehe Hassan Kiburwa amedhibitisha kutoka kwa kifo hicho...
9 Reactions
108 Replies
11K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mama mzazi amekiri kumchoma moto mikononi wake mwenye umri wa miaka tisa mkazi wa Kijiji cha Miramba wilayani Kilwa aakimtuhumu kumwibia Sh7,000. Mzazi huyo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama ilivyokuwa katika zoezi la kumkabidhi Rais John Pombe Magufuli report ya kwanza ya makontana pale ikulu, kulikuwepo wasanii kama wakina Frora mbasha, Shilole, Kalala junior etc. Huu mkakati...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu, Muda huu kuna bomoa bomoa inaendelea Kariakoo katika jitihada za upanuzi/maboresho ya reli. Sio siri ni simanzi kubwa kwa waathirika. #MsinipangieChaKubomoa
0 Reactions
78 Replies
11K Views
Wakazi zaidi ya 200 wa Kimara wamelalamika kutotendewa haki baada ya kuambiwa wabomoe nyumba zao ndani ya siku 30 kwa gharama zao, tarehe 8/6 ndio nyumba hizo zinatakiwa zianze kubomolewa Wananchi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Linajifanya lipo nyarugusu ili likupe kazi ya kusimamia wachina mpige hela. Kuwa makini na Namba hiyo
0 Reactions
7 Replies
788 Views
Mbeya. Siku mbili baada ya kuapishwa, Diwani wa Iganjo katika Jiji la Mbeya (Chadema), David Mwangonela anatarajia kulipwa kitita cha zaidi ya Sh6 milioni zikiwa ni posho za kila mwezi za udiwani...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Taasisi ya Alhikma Foundation chini ya usimamizi wa sheykh Nurdin Kishki inawaletea mashindano makubwa zaidi ya kuhifadhi Qur-an Afrika, mgeni rasmi akiwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kassim...
27 Reactions
182 Replies
29K Views
KWA maisha yetu ya kila siku, hakuna cha kushangaza unaposikia fulani anajihusisha na mambo ya kishirikina. Ni stori za kawaida. Utasikia juzi Dula alimwendelea demu wake wa Manzese kwa sangoma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watu watatu wa familia moja wakazi wa Kijiji cha Nyantira wilayani hapa mkoani Mara wanadaiwa kufariki katika mazingira ya kutatanisha huku wanannchi wakihusisha vifo hivyo na ulaji wa asali...
0 Reactions
2 Replies
739 Views
Nakumbuka alishinda kesi ila baada kushinda serikali ikasema haikuridhika na hukumu na hivyo wataka rufaa.. Sasa nauliza je serikali ilikata rufaa?? Na kama ilikata rufaa kesi imefikia wapi hadi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kijana Mmoja wa kiume Amekamatwa Baada ya Kujivisha Mavazi ya kike Ili Aweze kufanya mtihani kwa niaba ya mpezi wake.. Baada ya kuhojiwa kijana huyo Alisema kuwa Ameamua kufanya hivyo kwakua...
0 Reactions
4 Replies
871 Views
MWANAMUME mmoja ameuawa na mwili wake kuchomwa moto na wananchi wenye hasira katika wilaya ya Bunda mkoani Mara, kwa tuhuma ya kuiba kuku mmoja. Kwa mujibu wa polisi wilayani Bunda, tukio hilo...
0 Reactions
4 Replies
953 Views
BAD NEWS! Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto hii leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara. Gari hilo lilikuwa linafanya safari zake...
1 Reactions
66 Replies
16K Views
Samahani wadau nina shida ya haraka sana ya passport ninataka kusafiri nje ya nchi mwanzon mwa mwez wa 2 tar 5 hivi na nipo huku mkoani Manyara sijaju nianzie wapi nipate passport kwa haraka...
3 Reactions
77 Replies
15K Views
EWURA yatema madini hebu . Soma hapo kwenye ambatanisho. Je, hawakujua kuwa ni makosa Kupokea maombi ya IPTL hadi watumbuliwe!? Je, ni kweli kuwa ofisi na mamlaka nyingi hapo Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Zikiwa zimepita siku 91 tangu Rais John Magufuli apige marufuku usafirishaji wa mchanga wa madini Nje ya nchi bado hatima ya suala hilo haijafahamika. Hata hivyo uamuzi huo haujaathiri mgodi wa...
0 Reactions
8 Replies
927 Views
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini (IGP), Simon Sirro amewataka makamanda wa polisi mikoa kuhakikisha wanatumia vizuri mafuta ya magari wanayowekewa ili kuepuka malalamiko ya wananchi kwa magari ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…