Wanasayansi wagundua sayari nyengine 10 zenye uhai

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,472
2,000
_96557759_isolatedworld-sm.jpgWataalam wa maswala ya angani wametangaza ugunduzi wa sayari nyengine kumi angani ambazo huenda zinaweza kusaidia uhai.

Wanasayansi wa shirika linaloshughulikia maswala ya angani NASA wanasema kuwa data mpya iliochunguzwa kutoka kwa darubini ya Kepler inaonyesha sayari kumi zenye miamba ambazo zipo hatua chache kutoka kwa mkusanyiko wa nyota.

Sayari hizo ambazo zinatoshana na dunia, zote zipo nje ya jua katika mkusanyiko huo wa nyota.

Darubini hiyo ya Kepler sasa imegundua jumla ya sayari 50 katika maeneo tofauti yenye uhai angani.

Chanzo: BBC Swahili
 

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,312
2,000
Tubaki kufuatilia makinikia na madini hayo Airspace tuyaache kwanza wakina Prof John Thornton na wenzake.
 

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,058
2,000
Tatizo umbali, mi nawashangaa sana wachawi hawataki kutoa ushirikiano kwenye safari nje ya dunia!! Teknolojia yao pengine ingefaa maana kama mtu anatoka Lindi na anakwenda kuwanga Mwanza na kurudi kwake Lindi usiku huo huo, wangetufaa sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom