90% Ya wapiga mizinga ni Hulka Tu!

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,680
2,000
Huu ndio ukweli mchungu,wapiga mizinga wengi sio kwamba wana shida sana hapana ila ni mazoea ambayo wamejijengea kuwa maisha yao hayaendi bila mtu fulani ndio maana akikuomba pesa leo ukimpa basi wewe ndio utakuwa kimbilio na shida za aina zote duniani atakumbia wewe mpaka siku utakapomchoka na usiposhtuka kila mwezi mshahara wako lazima mtagawana tu.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,147

Huu ni unafiki, kwanini msiwachane kwamba hamtaki kuliko kuleta majungu mitandaoni huku.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,215
2,000
Dah ila mwanamke omba omba ni shughuli.
Anajua nimeachishwa kazi lakini ananiambia stori za nguo za sikukuu, namuuliza unajua sina kazi?
Anajibu si umeachishwa watakupa mafao?

Shani ni boya sana

Kumuacha siwezi, unamuachiaje mwanaume mwenzio mwanamke kama huyu? Acha nikomae naye
 
PjMarLu

JF-Expert Member
Sep 15, 2014
1,433
2,000
Si bure mkuu inaonekana umeshapigwa mizinga ya kutosha tena heavy duty na sustainable, wape akili ya maisha otherwise unajitakia mwenyewe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom