Mwendwa, Dr. Twaib na wengine 8 wateuliwa Majaji Mahakama Kuu

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed 10 new judges to be stationed at the High Court of Tanzania. A statement released today by the Acting Chief Secretary, Mr George Yambesi, revealed that the appointments became effective from June 4, this year.

The appointees include five women - Ms Grace Kalonge Mwakipesile, who was Land Court Registrar before the appointment; Ms Agnes Enos Bukuku, who was Registrar at the Treasury and Ms Ama-Isario Ataulwa Munis, who was Principal State Attorney.

Other women judges appointed are Ms Beatrice Rodah Mutungi, who was Deputy Chairperson of Tax Appeal Board and Ms Mwendwa Judith Malecela, who was Principal State Attorney.

The rest of the appointees are Mr Samwel Victor Karua, who was previously the High Court Registrar and Richard Malima Kibela, who was registrar in Dodoma District.

Others are Dr Fauz Twaib, who was a private advocate; Mr John Harold Utamwa, who was Registrar of the Court of Appeal and Mr Haruna Twaibu Songoro, who was Director of Legal Services.

Daily News
 
Dr. Twahibu naona umetukimbia kutoka kwenye bar. Nawatakia wote hekima na Mungu awaongoze katika kuhakikisha haki zinatendeka kwa kila mtu bila kuangalia rangi ,dini et al.

Shadow
 
Dr. Twahibu naona umetukimbia kutoka kwenye bar. Nawatakia wote hekima na Mungu awaongoze katika kuhakikisha haki zinatendeka kwa kila mtu bila kuangalia rangi ,dini et al.

Shadow

Kwani ukiwa Jaji unakuwa de-registered from the Roll of Advocates au utakuwa huna Practicing Certificate? Hongera Dr Twaib, I like this man, nimesoma kitabu chake kizuri sana kiitwacho The Legal Profession in Tanzania, The Law and Practice, LawAfrica Publishing (T) Ltd, 2008. Natumaini atatenda haki bila upendeleo wowote na atafanya kazi kwa bidii kama alivyokuwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika!
 
Nawapongeza wateuliwa wote:

Tatizo langu kubwa ni "Surnames" za hawa wateuliwa!

Ms Grace Kalonge Mwakipesile
Ms Agnes Enos Bukuku
Ms Ama-Isario Ataulwa Munis
Ms Beatrice Rodah Mutungi
Ms Mwendwa Judith Malecela

Daily News
 
Per your custom, what is your take Mwanakijiji?

Mimi tatizo langu ni ambavyo Rais mmoja anapoteua majaji zaidi ya 20 kwa kipindi cha miaka 4 tu. Ikumbukwe kwamba hawa wateule wa huyu mtu mmoja pamoja na mambo mengine wataamua mambo muhimu ktk taifa letu hadi watakapostaafu
 
Nawapongeza wateuliwa wote:

Tatizo langu kubwa ni "Surnames" za hawa wateuliwa!

unaweza tu kubadilisha hizo surnames... au una maana wingi wake... au mlio wake.. au makabila yao.. maana surnames labda zingekuwa Johnson, Smith, Paul zisingekuwa tatizo siyo?
 
unaweza tu kubadilisha hizo surnames... au una maana wingi wake... au mlio wake.. au makabila yao.. maana surnames labda zingekuwa Johnson, Smith, Paul zisingekuwa tatizo siyo?

Ana maana ya kuwa hizo surnames ni big names tayari. Kwa Mfano Mwenda is a daughter to John Samwel Malecela. Enos Bukuku and Mwakipesiles of the world nao ndani.

I think what matters most is the performance and delivery.
 
Mimi tatizo langu ni ambavyo Rais mmoja anapoteua majaji zaidi ya 20 kwa kipindi cha miaka 4 tu. Ikumbukwe kwamba hawa wateule wa huyu mtu mmoja pamoja na mambo mengine wataamua mambo muhimu ktk taifa letu hadi watakapostaafu
Kwa taarifa yako Tanzania tuna upungufu mkubwa wa majaji na mahakimu kuanzia mahakama ya juu kabisa yaani Mahakama ya Rufaa all the way down kwenye mahakama za mwanzo...ni wazi kuwa tatizo kubwa la ucheleweshaji wa kesi nyingi Tz ni sababu ya upungufu wa majaji. Bado tunahitaji hawa watu muhimu kwenye mahakama zetu, kwa hiyo mi sioni tatizo kama JMK akiteua majaji wengi cha msingi ni kuwa wana uwezo wa kutoa uamuzi bila upendeleo.

vilevile wadau wanaongalia zaidi hizi surname nayo si hoja, hoja je hwa watu wana uwezo au la?
 
Back
Top Bottom