Ubora wa mwanafunzi upo kwenye ubongo wake .

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
150
Ubora wa mwanafunzi upo kwenye ubongo wake na si kwenye vyeti vyake,Ajira ya graduate ipo kichwani kwake na sio serikali yake.

Mwanachuo aliyesomea cheti anaweza kununua smart phone yenye thamani ya Tsh 1,000,000/-na akawa anatembea na charge kwa ajili ya kuchajia simu yake,na anaweza kutoka Gongo la mboto mpaka mliman city kupiga picture za selfie na kuzipost Instagram na Facebook.

Mwanachuo aliysomea utashi na maarifa anaweza kununua smart phone ya Tsh 200,000/ na kutoka Gongo La Mboto mpaka posta kwenda kununua hisa za TBL,NMB,CRDB na company zingine kwa kiasi kilichobaki kwenye Tsh 1,000,000/-.

Tumia nguvu na akili nyingi kutafuta mianya ya pesa na kutengeneza kesho nzuri pia usisahau CCM na CHADEMA hawana sponsorship za kuwasaidia watu maskini wenye uwezo wa kusoma vyuo,wala hawawezi kukulipia medical insurance.

Usitumie muda wako na akili yako yote kujadili siasa na wanasiasa future nzuri inajengwa na utashi na jitihada za mtu binafsi,na sio wanasiasa au Bashite,tujenge utamaduni wa kununua hisa na kuacha kununua vitu visivyo na tija katika maisha yako.

Most of the problems in life are because of two reasons: we act without thinking or we keep thinking without acting.[HASHTAG]#UbongoWangu[/HASHTAG]
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,037
2,000
Wasomi wa JF kutwa kucha wapo kwenye majukwaa ya siasa kupiga porojo na kurushiana vijemabe, mwisho wa siku hawafanyi au kuchukua hatua yoyote na kuiacha tz inadidimia kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa sababu tu viongozi wa kisiasa ni mabashite na wababe
 
YABUUU

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,497
2,000
That is true, most of people keep thinking without acting hasa magraduate huku kitaa wanatia sana huruma usawa huu wa magu
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,786
2,000
Siasa ndiyo kila kitu, ukiidharau siasa utakuja kukuta unatawaliwa na watu kama Lusinde au Deo Sanga, au kwenye Mtaa wenu mnajikuta mnatawaliwa na mtu asiye na elimu na matokeo yake mnaletewa maagizo kesho Jumanne ni siku ya Usafi kila mtu na familia yake ajitokeze, hapo ndiyo utajuwa siasa sio kitu cha kudharau
 
Best Son

New Member
Jul 11, 2015
3
20
Ubora wa mwanafunzi upo kwenye ubongo wake na si kwenye vyeti vyake,Ajira ya graduate ipo kichwani kwake na sio serikali yake.

Mwanachuo aliyesomea cheti anaweza kununua smart phone yenye thamani ya Tsh 1,000,000/-na akawa anatembea na charge kwa ajili ya kuchajia simu yake,na anaweza kutoka Gongo la mboto mpaka mliman city kupiga picture za selfie na kuzipost Instagram na Facebook.

Mwanachuo aliysomea utashi na maarifa anaweza kununua smart phone ya Tsh 200,000/ na kutoka Gongo La Mboto mpaka posta kwenda kununua hisa za TBL,NMB,CRDB na company zingine kwa kiasi kilichobaki kwenye Tsh 1,000,000/-.

Tumia nguvu na akili nyingi kutafuta mianya ya pesa na kutengeneza kesho nzuri pia usisahau CCM na CHADEMA hawana sponsorship za kuwasaidia watu maskini wenye uwezo wa kusoma vyuo,wala hawawezi kukulipia medical insurance.

Usitumie muda wako na akili yako yote kujadili siasa na wanasiasa future nzuri inajengwa na utashi na jitihada za mtu binafsi,na sio wanasiasa au Bashite,tujenge utamaduni wa kununua hisa na kuacha kununua vitu visivyo na tija katika maisha yako.

Most of the problems in life are because of two reasons: we act without thinking or we keep thinking without acting.[HASHTAG]#UbongoWangu[/HASHTAG]
 
Best Son

New Member
Jul 11, 2015
3
20
Z

w
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom