Hai: Nyumba ya mwenyekiti wa CCM yachomwa moto

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,650
2,000
Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Dkt.Amini Uronu yachomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana, Tumaini Uronu mtoto wa Dkt.Amini athibitisha.

"Mzee na Mama wote wamelazwa Mt.Joseph, Mzee kapata madhara kiasi katika maeneo ya miguu na mikono". Alisema Mtoto wa Dkt.Amini Uronu.
 

Wgr30

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
1,665
2,000
sijawahi kulala nikafikilia siasa na sihitaji ije itokee naomba kwa mwenyezi Mungu japo marehemu baba yangu alikuwa mwanasiasa.
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,395
2,000
Bahati mbaya kabisa kwa wana ccm ni kuwa chama siyo chao tena na hawawezi kumshauri chochote yeyote aliyeko juu yao kiuongozi.

Wanakinywea kikombe wasichokistahili.

Kuonewa kubaya!!!!!!!
 

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
15,304
2,000
Hapo Machame kuna visa na visasi.......inategemea sana huyo DKT Amini anaishije na wenzake......

Machame ni sehem ngum sana kuish kama unatofautiana kimsimamo na jamii iliyo kubwa... my experience 20 yrs there....
Mimi ninachojua ni Machame vs Rombo/Kibosho (a every heated rivalry). Sasa Machame vs Machame itakuwa ni ingizo jipya kwenye vitabu vya rivalry huko Kilimanjaro. Kumbuka huko, All the Time Money Talks.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom