Mishipa ya damu

Translator

JF-Expert Member
May 19, 2017
286
297
Mishipa yote ya damu kwenye mwili wa mwandamu kama ingepangwa katika mstari mmoja, inaweza kufukia urefu wa maili 60,000.
Hii ni sawa na kilometa takribani 96,000.

.............

ZABURI 139:14
Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana.

upload_2017-6-19_15-35-17.png
 
Dah, tuwe siriasi jamani, km 96 elf mbona nyingi sana ivi,, wametumia kipimo gani hicho?
 
Huyo mtu aneangalia huku au ameangalia kule ? Na jee mbona mkono mmoja wa kushotobkwa sasa unaonekana kuwa na damu nyingi kuliko mkono wa kulia kwangu.
Nifafanulie
 
Huyo mtu aneangalia huku au ameangalia kule ? Na jee mbona mkono mmoja wa kushotobkwa sasa unaonekana kuwa na damu nyingi kuliko mkono wa kulia kwangu.
Nifafanulie
Sina uhakika kama kuna sababu yoyote maalum ya kuwapo damu nyingi upande mmoja Kaisari . Kuhusu upande waliogeukia, japo vidole gumba viko nje, ungeweza kusema ametugeuzia mgongo, lakini si lazima. Kwa hiyo, si rahisi kujua kwa hakika.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom