Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kipindi kile cha Nyerere kuwatambua usalama wa taifa ilikuwa ni kazi ngumu sana...ilifika point hata ukimwona kichaa kama mazingira flani inakulepekea kuhisi ni usalama wa Taifa... ungeweza...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa kweli mimi ningekuwa Magufuri cha kwanza ningepiga marufuku hii tabia ya wazazi au watu wazima kwenda beach na watoto... Jamani hizi siyo tamaduni zetu...unakuta jimama limevaa kibikini tu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tafadhali naomba kwa anayefahamu anifahamishe ni wapi naweza toa taarifa na ikafanyiwa kazi endapo nimeona mnyama anafanyiwa ukatili sababu kuna mtu naona hamtendei haki Ngedere wake anamfundisha...
0 Reactions
3 Replies
721 Views
Mkurugenzi wa TFDA, Hiiti Sillo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na dawa {TFDA}, Hiiti Sillo amewatoa wasiwasi wananchi wa Tanzania kwa kuwaambia mpaka sasa hawajapokea taarifa yeyote ya kuonesha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wito wangu kwa waTanzania, tuzidishe maombi kwa Raisi wetu. Lakini maombi ya namna gani? Sio maombi yoyote tu? Maombi mahsusi juu ya mtakatifu sana ni kama yale aliyoomba Mfalme Suleiman, Mungu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tafadhali naomba nijuzwe ilipo branch ya Nyanza road works Dar es Salaam,,,
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Mwalimu wa somo la kiingereza toka china-Ma Yun a.k.a Jack Ma, Episode ya 1. Siku moja mwalimu anayefundisha somo la Geography aliwaambia wanafunzi wake kuwa ukitaka kuijua nchi yako ya China...
0 Reactions
3 Replies
906 Views
Mkoa wa Katavi umetajwa kuwa unaoongoza kwa maambukizi ya ugonjwa wa Malaria kwa kipindi cha miaka minne mfululizo hali inayotajwa kuwaathiri zaidi watoto na wajawazito. Mratibu wa Malaria Mkoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, chukueni tahadhari kuhsu hizi namba ambazo kuna watu wanajiita wadau wa Kilimo kwanza wanafanya biashara ya spea za matrekta ya kilimo kwanza. walinipigia simu kwa kubadilisha sauti na...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mhariri Content Quality Controller Fang Content Manager Moderator Content Quality Controller Reserved Content Manager Bridger Content Manager Pruner Content Manager JamiiForums Official Robot
1 Reactions
6 Replies
970 Views
Hawa jamaa ndio wenye mamlaka ya upangaji viwango vya nauli lakin naona kipengere hicho kimewashinda kabisaaa , nadhan wamewaachia wamiliki au wana fuata maelekezo ya wamiliki wa mabasi Nitoe...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Jana nilikuwa ninasafiri nilikaa kiti kimoja na mkaka wa ki-Nigeria katika maongezi aliniambia alikuja Tanzania kwa shughuli za biashara. Ukarimu aliokutana nao Tanzania anasema hata usahau. Kila...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
*KCWW RAM/29 1438* Darasa ya Ramadhani, Jumatatu tarehe 24 Ramadhani 1438, sawa na 19 Juni 2017 WAJIBU WA ZAKA YA FITRI Zakatul-Fitr ni zaka/sadaka ya lazima inayotolewa baada ya...
3 Reactions
6 Replies
6K Views
Jukwaa la wahariri Tanzania, limetoa tamko lao kuhusu uamuzi wa Waziri Harrison Mwakyembe kulifungia Gazeti la Mawio. tazama Live Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesema kuwa kitendo cha...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hivi ni kwanini kila kukicha tu Watanzania tunalalamika kuwa maisha ni magumu na wengi wetu kuitupia lawama Serikali / Watawala kuwa ndiyo sababu Kuu ya Umasikini tulionao wengi wetu lakini hapo...
5 Reactions
42 Replies
5K Views
Kuna Staff Mwenzangu Aliandamwa Na Kesi Fulani Ikamlazimu Aombe Ruhusa Mara Kwa Mara Akanyimwa Na Ilikuwa Muhimu Atoke Kituoni Akaondoka Hatimae Akashinda Kesi Aliporudi Ofisa Kaenda Mchongea Kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwema wakuu. Fedha za dhamana ambazo hutolewa ili mtuhumiwa asikae rumande yaani apate dhamana huwa zinaelekezwa kwenye mtumizi gani Na je ni chombo gani ambacho huwa kinashughulikia matumizi ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkimbizi mmoja kutoka Burundi, Bella Nshimirimana amepata tuzo ya kuwa mwanamke mkimbizi bora nchini Uganda kwa mwaka 2017, kutokana na mchango wake katika masuala mbalimbali yenye tija kwake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napenda kuipongeza serikal Na uongoz Wa hospital ya taifa ya muhimbil kwa juhud za kuboresha utoaji Wa huduma za kiafya, Dhumuni la uzi huu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…