Maswali magumu kuhusu matumizi ya faini za traffic barabarani na zile za dhamana mahakamani

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,255
2,000
Kwema wakuu.

Fedha za dhamana ambazo hutolewa ili mtuhumiwa asikae rumande yaani apate dhamana huwa zinaelekezwa kwenye mtumizi gani Na je ni chombo gani ambacho huwa kinashughulikia matumizi ya fedha hizi? Hakunaga auditing?

Maana huwa naona watu wanadhaminiwa kwa mamilioni ya pesa pale Mahakama ya Kisutu n zingine zote nchi nzima. Unatakuta ndani ya wiki watu wanadhaminiwa kwa mamilioni ya pesa; milioni 100,200,50 nk. Kwa mwezi fedha za dhamana pale Kisutu pekee inakadiriwa kufikia Billion 5 na kuendelea.

Hali kadhalika kule barabarani kwenye faini ambazo trafiki wanakisanya barabarani nchi nzima,ni mamilioni ya shilingi. Maana sisi wabongo wagumu sana wa kufuata sheria za barabarani. Mamilioni yote haya huelekezwa kwenye matumizi gani? Chombo gani kinachoshughulikia matumizi ya fedha hizi nyingi kiasi hiki?

Ni mamilioni ya pesa aisee huko kwenye dhamana na faini barabarani.

Mwenye kujua haya mambo please.

Mimi natapa Gahawa hapa,namwona Bashite kwa mbali!
 
demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,243
2,000
Nashauri. Idara ya usalama barabarani ifanye kazi kwa weledi mkubwa kujitengenezea taswira njema mbele ya Watanzania.
 
Jongwe

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
1,030
2,000
Kwema wakuu.

Fedha za dhamana ambazo hutolewa ili mtuhumiwa asikae rumande yaani apate dhamana huwa zinaelekezwa kwenye mtumizi gani Na je ni chombo gani ambacho huwa kinashughulikia matumizi ya fedha hizi? Hakunaga auditing?

Maana huwa naona watu wanadhaminiwa kwa mamilioni ya pesa pale Mahakama ya Kisutu n zingine zote nchi nzima. Unatakuta ndani ya wiki watu wanadhaminiwa kwa mamilioni ya pesa; milioni 100,200,50 nk. Kwa mwezi fedha za dhamana pale Kisutu pekee inakadiriwa kufikia Billion 5 na kuendelea.

Hali kadhalika kule barabarani kwenye faini ambazo trafiki wanakisanya barabarani nchi nzima,ni mamilioni ya shilingi. Maana sisi wabongo wagumu sana wa kufuata sheria za barabarani. Mamilioni yote haya huelekezwa kwenye matumizi gani? Chombo gani kinachoshughulikia matumizi ya fedha hizi nyingi kiasi hiki?

Ni mamilioni ya pesa aisee huko kwenye dhamana na faini barabarani.

Mwenye kujua haya mambo please.

Mimi natapa Gahawa hapa,namwona Bashite kwa mbali!
Mungu mkubwa sijawahi dhaminiwa wala kuombwa kumdhamini mtuhumiwa. Nauliza kwani hii pesa ya dhamana baada ya hukumu ya kesi kutoloewa, hii pesa hairudi kwa mdhamini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom