Ukiona hukutani na tatizo maishani mwako, basi wewe ndo tatizo lenyewe

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,313
2,000
IMG-20170620-WA0100.jpg
 

kifinga

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
4,693
2,000
Ha ha ha ha ha ha ha kama huna mipango utakua mtu wa matatizo kila siku alafu suala la matatizo nazani ni mtazamo tu kama kuwa tajili ni mtazamo tu na mind set yako inavyojidanganya
 

super nova

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
1,478
2,000
ujue una hela..hela can solve and creates all problems on planet earth not in heaven...
 

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,475
2,000
Jamaa mmoja ana mke ndani alafu kawapiga mimba wanawake kama watano hivi wakiwamo mahouse girls, alafu nimemkuta kakaa analalamika eti ana matatizo nimsaidie mawazo na nilivyomuuliza ndio kanieleza haya.
Je, tumchukulie huyu kama shujaa wa matatizo!? Quote zingine inatakiwa umakini kuzieleza wakuu.
 

GoPPiii.

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
1,480
2,000
Ha ha ha ha ha ha ha kama huna mipango utakua mtu wa matatizo kila siku alafu suala la matatizo nazani ni mtazamo tu kama kuwa tajili ni mtazamo tu na mind set yako inavyojidanganya
Kweli kabisa matatizo ni mtizamo tu wa mtu.Sababu kuna watu wanaishi km vile hamna tatzo sabb wameamua ku simpilfy maisha,wanatake easy mpk wanaona kila kitu kawaida.
 

Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,029
2,000
Tokea nizaliwe sijawahi kuona mtu anamatatizo, labda changamoto za hapa na pale na wengine kusumbuliwa na maradhi
 

mdudu unga

Senior Member
Mar 30, 2017
111
250
Maserati , matatizo ni yale mambo / matukio ambayo kiuhalisia yanakuwa yanaishinda akiili ya fulani kuwaza kuyatatua, huku kwa wakati huo huo tatizo lako linaweza tatuliwa na mwingine..

Pia Maserati , Changamoto (challenges) ni yale yote yanayokukwaza kwa sababu ya kushindwa au kukosa kitu fulani ili kuweza kufanikisha malengo fulani.

Hivyo basi ni lazima tukubali hakuna tofauti kati ya tatizo & changamoto.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom