Ndugai tumekusikia kwa UKAWA, je vipi kwa Muhongo?

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,179
2,000
Kwenye kikao cha bunge kinachoendelea spika amesema wabunge wa UKAWA ambao hawakuunga mkono bajeti ya serikali isipelekwe miradi ya maendeleo katika majimbo yao. Hali hiyo imezua mshangao ndani na nje ya mhimili huo

Jana hazeti la Nipashe liliripoti kwamba Muhongo hajaonekana bungeni kwa wikitano sasa.Leo gazeti hilo limemnukuu profesa huyo akisema yupo mapumziko.Wakati huo upngozi wa bunge hauna taarifa za wapi alipo kada huyo msomi

Swali mmojatu kwa Ndugai
Je hukumu ya Muhongo ni ipi na kama UKAWA hawatakiwi kupelekewa miradi ya maendeleo wananchi wanaowakilishwa na mbunge huyo watarajie nini?

Nawatakia ijumaa njema
 

Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,832
2,000
Kwahiyo bila Muhongo kuwepo bungeni maendeleo katika majimbo yao siyo muhimu? Hayo ndiyo matumizi mabaya ya akili
 

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,179
2,000
Kwahiyo bila Muhongo kuwepo bungeni maendeleo katika majimbo yao siyo muhimu? Hayo ndiyo matumizi mabaya ya akili
Aliyeshauri hatua za kuchukua ili kutatua kero za wananchi nakusema kama sivyo haungi mkono na akajitokeza mtu akasema wasipelekewe miradi,je ambaye ametoroka kabisa hajulikani alipo afanyweje?
Kitu gani hapo hakijaeleweka mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom