Siyo nyinyi peke yenu mnadhulumiwa tu yatosha

Copenhagen DN

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,060
2,000
Dhulma dhulma ndio imekuwa kisingizio cha hawa wapuuz kuua watu wasiokuwa na hatia.

Kama kudhulumiwa nikulipiza kisasi watu tungeshafanya ya ajabu baada ya kifo cha mwangosi lakini tuna ubinadamu. Kama kudhulumiwa nikulipiza kisasi tungefanya mabaya kwa kuibiwa gesi, hazina kukaushwa na kuambiwa bila safari zake za hovyohovyo tungekufa kwa njaa.

Kama nikudhulumiwa nikulipiza kikasas tungefanya maajabu baada ya kuuza viwanda vya nchi na migodi nakujimilikia kiwira . Kwa ubinadamu watu na upendo ndio maana watu wasiokuwa nauchungu wakuwa na watoto wanatuita malofa.

Tumeona watu wamezoea kudhulumu hadi wakakubuhu kwanzia nyumba za serikali vivuko na meli hadi rambimbi na bado wanadharau ubabe. Kwa upole na ubinadamu watu hadi wanatuona wajinga wanaenda kugawa biskuti na juisi na kutuambi fanyeni kazi tetemeko alijaletwa na serikali.

Je tusingekuwa reasonable kama nyinyi tukaweka ubinadamu na upendo kando kuna angeyepona? Acheni hizo kuwaua askar wetu na raia wengine wasiokuwa na hatia. Ila siku yenu ipo tu hamuewezi kila wakati kutekeleza ukatili wenu mkatoroka ipo siku
 

Tz mbongo

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
6,650
2,000
Kuna watu wake zao Wanatabu kweli,sijui kama wanapata nao Muda wa kujadili maisha. Naona kuna watu hata kukaa na kufurahi na familia yake katika ardhi hii ya Tz kwao wanaweza kuchukulia kama ni usaliti.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom