Jiulize kwanini? Unadhani kwanini?

Jiulize kwanini? Unadhani kwanini?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,419
Reaction score
17,765
Umewahi kusoma kitabu hadi nyele zikasisimka ukaona maisha yamebadilika baada ya muda mfupi au siku kadhaa ukajikuta uko vilevile...
Jiulize ni kwanini...

Umewahi kusoma vitabu vya kanuni flani za maisha, ukaandika kwenye karatasi au notebook au ukasave kwenye simu mbinu,mikakati kanuni mpya za maisha ila baada ya Muda au siku kadhaa ukajikuta ukumbuki hata mara ya mwisho Hulipitia lini...

Jiulize kwa nini...

Jiulize kwa nini, Ukimsikiliza motivational speaker akisimulia story za mafanikio, akionyesha magumu aliyopitia na kufanikiwa sana ila baada ya wiki kama usipomsikia tena utajikuta uko vile vile...

Jiulize kwa nini...

Umewahi kuhudhulia semina ya kusisimua kuhusu biashara au kilimo baadae ukachukua hatua ya kuingia kwenye uhalisia ndani ya muda mfupi hamasa ikakata, jambo likawa haliFanikiwi au ukaishia njiani...
Jiulize kwa nini...

Umewahi kusema Kuanzia Leo sifanyi kitu flani tena...
Baada ya Muda flani ukajikuta ndio unakifanya zaidi, au baada ya kuhudhulia nyumba za Mungu na kuchomwa sana na neno ukasema sirudii tena? Kuanzia leo naanza kufanya 1,2,3?
Sirudi nyuma tena?
Hata mwezi haujaisha ukajikuta kulekule?

Jiulize kwa nini?
Unadhani kwa nini?
 
kwanini inakuwa hivo?
Tunajiuliza kwa nini?
Ila jibu la awali nikwamba mental programming na reprogramming sio kitu cha kushtukiza siku moja...
Tabia mpya inahitaji strughle na kufahya hicho kitu sahihi kwa kurudiarudia hadi kiwe ni tabia yako mpya sio kwa kusoma na kukimbilia practice ukitegemea matokea mapya kwa mental programming ya zamani...
 
nafkiri ni mapungufu tulionayo wengi wetu.ukiachana na mambo ya saikolojia na mengineyo ya kufanana,wengi tumekua na desturi potofu ya kuhitaji kutajirika badala ya kufanikiwa.
 
Yaani najiuliza KWANINI bada ya kusoma hii mada yako nikafunga haraka kabla sijamaliza mpaka mwisho.
 
Tunajiuliza kwa nini?
Ila jibu la awali nikwamba mental programming na reprogramming sio kitu cha kushtukiza siku moja...
Tabia mpya inahitaji strughle na kufahya hicho kitu sahihi kwa kurudiarudia hadi kiwe ni tabia yako mpya sio kwa kusoma na kukimbilia practice ukitegemea matokea mapya kwa mental programming ya zamani...
sawa, nilivyokuelewa ni kwamba ukitaka kumaster kitu kipya ni lazima kukirudia rudia na ku practice frequently, ndio kusema utaweza ku cover..! sahihi hapo?
 
angalau, ni mahala pa kuanzia.
mkuu hizv vita vinaanzia kwenye Ubongo.
Tukijua nini kinatokea, nini tukifanye ili kufanya tofauti utakuwa umepata pa kuanzia.
Kuna kitu kinaitwa DOPAMINE. Hapo ndio uchawi unapoanzia na ndio mwanzo wa kutakua tatizo kwa kudumu na kwa nini URUDIEDUDIE.

sijui sana ila uendelee, KUJIULIZA KWA NINI?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom