Omary Kipingu
Member
- Feb 22, 2016
- 40
- 48
KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU UVCCM,DANIEL ZENDA ATOA SALAMU ZA KUSHUKURU WANA CCM NA WATANZANIA KWA UJUMLA KWA MSIBA WA MAMA YAKE.
Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo vikuu ndugu Daniel Moses Zenda.Leo Jumatatu tarehe 22 / 05 / 2017/ Ametoa Shukrani zake kwa wanachama wa chama cha mapinduzi na watu wote kwa ujumla walioshiriki kwenye Msiba wa Mama yake Mzazi aliyefariki Tarehe 17 May 2017 Aliyekuwa amelazwa kwenye hospital ya taifa Muhimbili.Akiongea kwa njia ya simu na Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi bwana Zenda alisema
( Kwa Unyonge sana ) “ Nawashukuru ndugu zangu,marafiki wote na Wanachama wa ccm wote na jamaa kwa kujitokeza kushiriki mazishi na kumsindikiza mama yetu mpendwa.Sina cha kuwaeleza zaidi ya kusema Asanteni sana Mwenyezi Mungu awabariki wote”
Alimaliza ndugu Zenda.
Hata hivyo Uvccm kwa niaba ya vijana wote wa Tanzania na idara zote kwa ujumla tunaendelea kumpa pole na kumuombea kwa mungu Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Ndugu Zenda kwa msiba huo mkubwa Tunaomba Mungu ampe uvumilivu kwenye kipindi hiki kigumu kwenye maisha yake..
“Bwana Ametoa na Bwana ametwaa Jina la bwana Lihimidiwe”
Uvccm Taifa
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi