Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama kichwa kinavyojieleza.je umewahi kuishiwa kabisa pesa katika maisha yako .je ulichukua hatua gan?.wakati watoto wanatakiwa kula na kwenda shule.kulipa pango la nyumba na kulipia bili za maji...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Hivi hili suala la makato ya Mtumishi kutozidi 30% ya mapato yake kwa mwezi si suala la kisheria? Je, ongezeko jipya la asilimia 7 (7%) kwa watumishi waliofikia ceiling ya 30% ya makato sio tatizo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za mchana members.... Nilikuwa naomba Masaada wa maelezo kuhusiana na hili swala la ulipaji kodi ambalo TRA wameliongezea muda wa wiki mbili, hii kodi inayolipwa ni ya majengo au ardhi...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Mimi binafsi nakumbuka wakati nipo o level . Nilikuwa na girlfrnd wangu pale mtaani kwetu, ubaya kipindi kile simu hazikuwa nyingi na then simu zilikuwa garama, sasa ikafika tupange mda wa kuonana...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
JPM alisema kuna watu watahama mji wenyewe naona hili kwa asilimia 45% linaanza kutekelezeka. Airtel wameliona hilo wameamua walete vocha za mia mbili Coca-cola mmeona mia ni kubwa sana kwa...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa Geita baada ya kulipukiwa na bomu lililookotwa na watoto wakidhania kuwa ni chuma chakavu.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Katika sehemu kubwa nchini kama si nchi nzima ulipaji wa kodi ya majengo imekuwa kero kubwa sana kutokana watu kuwa wengi sana katika ofisi za TRA Hali inayoonnyesha kwamba TRA wamezidiwa na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndugu Wanabodi, Hii tabia wanayoifanya hawa ndugu zetu imekuwa ni kero sana kwangu. Kwa muda mrefu hawa jamaa hasa zinapokaribia sikukuu maarufu za kidini, huanzisha mgawo wa umeme mida ya usiku...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali imetoa siku saba kwa ajili ya halmashauri zote kuhakikisha walimu wa hesabu, sayansi na wataalamu wa maabara waliopangwa hivi karibuni wanapewa posho za kujikimu. Waziri wa Nchi, Ofisi...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Rais wa Marekani Donald Trump anasema muda wa uvumilivu wa kimikakati kwa Korea Kaskazini umekamilika sasa. Katika hotuba ya pamoja na rais wa Korea Kusini Moon Jae, kwenye ikulu ya White house...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa hatua zote za kufuata kama machapisho, hariri za vitabu na zinginezo zinazofuata baada ya mwandishi/mtunzi kumaliza kazi yake. Na mahali kampuni zinazojihusisha na mambo hayo kwa...
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Wakuu, Kunani Azam TV "on line" maana haipatikani kabisa kwa sasa.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya Rais kubana kote zote i mean kutatua yale matatizo sugu ya wananchi wa kawaida na kutaka kuhakikisha wote tunapata Lion Share je wapinzani waje na lipi tena jipya au ndo muda wa kumwunga...
0 Reactions
4 Replies
896 Views
Baada ya TCRA kufanikiwa kuwaondolea wananchi KERO ya kusikilizishwa matangazo kwa lazima pindi wanapopiga simu, kuna taarifa kuwa wameitaka pia Kampuni ya Simu ya tiGO kufuta tangazo lake la JAZA...
1 Reactions
60 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Shirikisho la soka nchini (TFF) Wakili Revocatus Kuuli ameamua kukacha kikao cha kamati hiyo kilichokua kikikamilisha usahili wa wagombea, kufuatia baadhi ya...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu Mimi nashindwa kuelewa kwa nini kampuni za Mafuta haswa ya haya ya kupakwa mwilini haztumii ben pol kama balozi wao, Tumeona ben amekiki kweli na ile inshi ya kupakwa mafuta
0 Reactions
2 Replies
854 Views
“Ifike mahali kila mtanzania licha ya tamaa zake za kimaumbile aseme hiki sikichukui kwa kuwa si stahili yangu na hiki sikifanyi kwa kuwa kwa hadhi na nafasi yangu si sitahili kukifanya licha ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba nikiri kwamba uchezaji wa kwaito kwangu ni ziro/limenishinda kabisa. Ila cha ajabu si harusi ya kilokole, kiislamu, kiprotestanti au kikatoliki kwaito lazima ratiba yake iwepo. Nauliza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba nikiri kwamba uchezaji wa kwaito kwangu ni ziro/limenishinda kabisa. Ila cha ajabu si harusi ya kilokole, kiislamu, kiprotestanti au kikatoliki kwaito lazima ratiba yake iwepo. Nauliza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom