Kampuni za mafuta mfanyeni Ben Pol balozi wenu

Kampuni za mafuta mfanyeni Ben Pol balozi wenu

Intelsat

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
323
Reaction score
533
Wakuu Mimi nashindwa kuelewa kwa nini kampuni za Mafuta haswa ya haya ya kupakwa mwilini haztumii ben pol kama balozi wao, Tumeona ben amekiki kweli na ile inshi ya kupakwa mafuta
 
Nilisikia amesaini mkataba na kampuni moja..ila bado hajaweka wazi ni ipi kwa sababu anamalizia kusainishana nao mikataba na makubaliano
 
Back
Top Bottom