Hii kampuni ya AIFOLA PRIME TRADERS Ltd imeanza kazi ya kukusanya takataka za majumbaji mwaka huu mwezi wa pili na kwa sasa wiki ya pili haijachikua taka mpaka zinatoka funza.
Hivi wahusika wa...
Wanabodi habari zanu, bila shaka ni wazima wa afya nyote,
Hekima, Busara na Ustaarabu ni jambo jema sana kwa binadamu yeyote yule kufanya au kufanyiwa.
Lakini, Hekima na Ustaarabu pamoja na...
Machoni mwangu ni mageni na hayana taarifa za kujitosheleza. Nimekuta wife kanitengea na dinner.
Bei ndo imenitisha zaidi lita 1 tsh 500.
Naomba kufahamishwa yanatoka wapi, ingawa yana nembo ya TBS.
Habari wakuu,
kiukweli nimekua mdau wa media kwa muda sana na kujua mazuri na mabaya ya baadhi ya media.
Leo acha niongelee hii redio clouds fm juu ya mambo wanayoyafanya ambayo ni kama vitendo...
Habari wanaJamiiForums,
Waziri wa Afya amesema uchunguzi umebaini Mwanamke (Asma Juma) aliyedai kuibiwa mtoto pacha Hospitali ya Temeke, alikua na mimba ya mtoto mmoja.
Utafiti unaonesha kuwa Watoto wanaonyonyeshwa kwa miaka miwili na zaidi wako katika hatari kubwa ya kupata matatizo ya meno(Ikiwemo meno kutoboka).
Watafiti umebainisha haya baada ya kuwafanyia...
1. KOLOMIJE.
Inasemekana mahali hapo alifika Mzungu aliyeitwa James, hivyo huyu Mzungu akataka watu wamwiite "J" badala ya kutamka jina lote. Hivyo akawaambia CALL ME J, wabantu wakatamka...
Akijibu swali bungeni ni lini serikali italitambua eneo la chisinjisa kuwa ni katikati ya tanzania?
Naibu waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi mh Angelina mabula alisema mpaka sasa serikali...
Wanabodi,naenda moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu!
Baina yetu, ni kawaida sana kumuagiza mwanamke /mwanaume kutoka mtaa au mkoa mwingine kwa ajili ya kuspend /kutembea nae huku moyoni...
Nimesikitika sana na uwezo mdogo sana ulioonyeshwa na waandishi wa habari walioalikwa katika kipindi cha "Tuongee asubuhi" kinachorushwa na kituo cha runinga cha Star Television.
Mfano...
Habari wanabodi. Nimeona threads ambazo zinazungumzia jinsi waganga wa kienyeji kutoka if wanavowatapeli members. Natumia dk 5 tu kuwapa siri ya wizi huu.
Kumbuka kuna waganga wataalamu kweli...
Kwa vibanda vya m-pesa visivyochangamana na biashara nyingine:
Nimejaribu kufuatilia thread kadhaa zinazoongelea swala hili, hakuna niliyopata jibu lililonyooka.
Ninavyofaham mm kodi katika...
Watanzania ktk kusherekea Eid ya mwaka huu naona kweli walijipanga maana mpaka leo Kuna baadhi ya watoto wana endelea na sherehe za Eid kwani nini siri ya furaha hii??
Sijasikia eti bei za nguo...
Naona ITV imeanza kufuka, leo katika kipindi cha kipimajoto ITV imeanza kurudisha mashabiki wa kipindi cha kipimajoto baada ya kurusha mjadala unaokidhi viwango vya kiuandishi wa habari
Wambura (51), alitembelewa na mwandishi wa habari hizi nyumbani kwake na kuomba msaada wa Sh. milioni 25 kwa ajili ya matibabu nchini India, baada ya matibabu yake kushindikana katika Hospitali ya...
Mapinduzi ya viwanda duniani yalitokea Marekani kwenye mji wa Detroit Jimbo la Michigan.
Mji huo sasa hivi yamebaki magofu ya viwanda hivyo kutokana na madhara makubwa yaliyotokana uchafuzi wa...
Tanzania (na Afrika kwa ujumla) kuna watu waongo-waongo sana, yaani haipiti siku lazima mtu adanganye tu.
Kazini, mtaani, ndani ya familia kudanganya ni kama 'fashion' kwa watanzania miaka nenda...
Utalii wa ndani wadau, nataka kuanzia na mkoa wa Singida.
Ni wapi nita enjoy nikiwa mkoa wa Singida?
Na hasa nini kitanivutia katika utalii huu?
Mwenye dondoo please tujuze.
Jamani, TBS, sijui nyie mnadefine vipi ubora hasa kwenye hizi sekta ya mavazi.
Siku hizi zimeingia fashoon yani visuruali vinashika miguu na mapaja kiasi kwamba mimi kama rijali naona aibu. Juzi...
Hayo yameanzishwa na kanisa katoliki wengine wanafata tu bila kuelewa wakati origin yake ni Vatican.
Marathon imetokana na neno Mariathon ikiwa na mana ya pale mama maria alipomkimbiza mwanae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.