Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inasemekana kwamba huyu ndiyo ' Mganga ' mkubwa na mwenye ' Ndumba / Uchawi ' mkubwa sana ambaye ndiyo amewapa nguvu hizi za ' Miujiza ' ambazo hawa Watu wanaojiita ' Mitume ' na ' Manabii ' ambao...
6 Reactions
54 Replies
7K Views
Mtangazaji wa Azam TV Fatna Ramole. Source: Mwananchi. UPDATE --------------------------------------------------- Dada amepatikana Mdogo wake ashukuru Nguvu za Mitandao ya Kijamii. Mapema...
6 Reactions
244 Replies
38K Views
Aman iwe nanyi katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Yule rappa mtundu wa mashail yenye ujazo killer kutoka mwanza mwanza amemushauli msanii mpenda kiki na mzee wa misifa ney wa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina kazi nzuri kwa mwezi sikosi kama laki tano na kidogo na nina mwaka tu kazin na nimepata pesa kama milion 28 hivi na sina dira nzuri ya mafanikio...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Watazamaji wapatao alfu hamsini hawakuamini kuwa mwalimu wazamani wa shule Jeff Horn angeweza kumshinda mbabe wa ngumi na seneta mfilipino Manny Pacqiao kwa point na kumnyanganya mkanda aliokua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waasi wanaodaiwa wa Kidemokrasi ya Congo DRC wamewateka madereva 21,wakiwamo Watanzania 18 wanaofanya kazi kwenye kampuni ya malori ya mizigo ya Alistair ya nchini. Akizungumza na gazeti la...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Chama cha Soka Tanzania, TFF ni miongoni mwa Taasisi ambazo weledi ulipaswa kuwa ndio kiini cha utendaji wa taasisi hiyo. Hali hiyo haipo kwa TFF ya Jamal Malinzi baada ya taarifa kusambaa kuwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sasa hali tete haijawai kutokea kilo moja ya mchele kulingana na ile ya unga wa mahindi,hakika tutaisoma namba haswa maana mpaka sasa serikali haijatuambia sababu ya unga kupanda bei na kuwa sawa...
2 Reactions
69 Replies
13K Views
Usimcheke mwenzio akipatwa na matatizo Manji alipopata matatizo ya kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya wapenzi wa Simba walishangilia sana kiasi cha kufikia kuwaita yanga mateja, Sasa...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu msaada hata kama kuna link yoyote ili tuweze angali japo final ya kombe la shirikisho maarufu kama mabara
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Namwonaga sana itv kama reporter na kiukwel ni miongoni mwa watangazaji wa itv ninaowakubali sema nilikuwa sijawai kujua jina lake,sasa leo akiripoti mambo ya sabasaba kama paschal mayalla ndo...
5 Reactions
82 Replies
9K Views
Idadi ya watumiaji wa dawa za kulevya aina ya Heroin na Cocain katika jiji la Tanga imeongezeka kutoka zaidi ya 3000 hadi kufikia 5000 katika kipindi cha miaka 2 iliyopita kufuatia utafiti...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu Sasa hivi kumekuwa na matapeli ambao wanakupigia simu na kuomba kufanya kazi na wewe. Hawa jamaa ni wasomi, wataalamu na pia wana uwezo mkubwa sana wa kuweza kukushawishi ili ukubali...
7 Reactions
40 Replies
5K Views
Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli. Mwenye habari kamili atuhabarishe...
2 Reactions
195 Replies
36K Views
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais mazingira Luhaga mpina ametoa siku 15 kwa uongozi wa kiwanda cha Oky Past kilichoko Vingunguti kufanya marekebisho kwenye mfumo wa utoaji moshi katika kiwanda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa kutokana na ajali ya barabarani iliyohusisha basi dogo na lori mkoani Lindi. Basi hilo hilo aina Ya TATA lenye namba za usajili T 352 DCQ...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimepoteza bro na rafiki yangu wa karibu sana, usiku wa kuamkia trh 29.06.2017.Na leo ndio mazishi yake.Inauma sana mtu kuondoka ghafla bila kuugua au ajali. Lakini yote ni...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom