Kodi ya TRA iliyoongezwa muda wa malipo ni ya ardhi au majengo?

Tom Ford

New Member
Jul 1, 2017
2
0
Habari za mchana members.... Nilikuwa naomba Masaada wa maelezo kuhusiana na hili swala la ulipaji kodi ambalo TRA wameliongezea muda wa wiki mbili, hii kodi inayolipwa ni ya majengo au ardhi? Pili kwa wamiliki wa maeneo yasio rasmi (Squatter areas) pia wanatakiwa kulipia hii kodi au la?
 
Back
Top Bottom