Hivi hili suala la makato ya Mtumishi kutozidi 30% ya mapato yake kwa mwezi si suala la kisheria?
Je, ongezeko jipya la asilimia 7 (7%) kwa watumishi waliofikia ceiling ya 30% ya makato sio tatizo kwa muajiri?
Je, kwa aliyefikia level hiyo ya makato kabla ya ongezeko toka 8% to 15% anapaswa kuongezewa makato au atasubiriwa akimaliza deni moja abadilishiwe makato?
Waajiri, HRs na wanasheria hebu tusaidieni, kama tunaweza kuweka zuio la kisheria.