Hizi ni kampuni za ujenzi wa barabara ziko mwanz a na hivi karibuni zimekua zikipewa kazi nyingi za ujenzi wa barabara kanda ya ziwa wao pamoja MAYANGA .C . LTD kwa mnaozijua vzr hizi kampuni hebu...
wakuu kama mnavyokumbuka mwezi april,mweshimiwa raisi aliweka jiwe la msingi kwenye miradi miwili mikubwa ambayo ni SGR na ubungo flyover, kwa ubungo interchange naona wameanza na ku-dry lile eneo...
Katika hali ya kutatanisha wakazi wa wilaya ya Tarime-Mara mpakani Silari wanatumia bodaboda kusafirisha mahindi kwa njia za panya kama ilivyo vivyo hivyo ktk wilaya ya Rombo huko Kilimanjaro.kama...
Habari wanajukwaa!
Bila kumwonea mtu aibu napenda kuonyesha mambo ambayo wanaCCM wamepungukiwa. Kati ya haya machache nitakayoorodhesha chini ndiyo wenzetu wamepungukiwa aidha moja au zaidi...
Wana JF,
Mimi binafsi sijafurahishwa na kitendo cha Mh John Magufuli kupinga ujenzi wa nyota Tano unaotaka kufanywa na Tantrade. Kwangu mie ule ni ukiritimba na ujuaji usio na tija. Hulka ya...
Bashite
Kolomije
Zero brain
Haijawah kumwacha mtu salama
Jaza ujazwe
Kibiti
Mheshimiwa spika
Bi Anna mgwira
Act wazalendo
Miundombinu ya mbowe
Hide my I'd please
Mubashara
Eid mubaraq
Ramadhan...
Juzi kati mlikuja na maandamano, tupeni mrejesho mlifikia wapi maana naona machinga bado wanauza santuri za kifilipino mtaani.
JINI SONIA (picha kali ndani)
nataka kutengeneza website inayofanana na Hii https://www.obeezi.com muonekano isipokuwa yangu nayohitaji ni tofauti kidogo tu nitahitaji kuweka bidhaa zote
TANZIA: Msafiri wa treni ya Deluxe MICHAEL MAYENGO (18) kutoka Kaliua kwenda Morogoro amefariki dunia kati ya vituo vya Humwa na Kikombo!
Marehemu ameteremshwa Kilosa jioni saa 12:30 kwa ajili...
Mtukufu sana rais wetu wa awamu ya tano mh.JPM nakuomba tafadhali nogesha hii sherehe ya taarifa ya mchanga ANGALAU UTOEPO AJIRA HATA ZA WALIMU WA SANAA
NOGESHA BABA
Habari wanaJF,
TAKUKURU imekataa kuwaruhusu viongozi wa TFF wanaoshikiliwa kwenda kwenye usahili wa wagombea unaoanza leo. Viongozi hao ni wagombea walioomba ridhaa ya kutetea nafasi zao...
Kama picha hii ingekuwa ni ya kuchorwa. Basi ni lazima ingekuwa imechorwa na si mwingine, ni gwiji Leonardo di ser Piero da Vinci. Picha hiyo imejaa maelezo yote kuhusu hatima ya sakata la...
Good morning wana Jf.
Leo nikiwa ninaendesha gari kuelekea maeneo ya VETA chang'ombe ghafla nikasimamishwa na traffic police wakitaka niweke gari pembeni ili wakague kama nimelipia Road Licence...
Mufti Mkuu, Sheikh Abubakar Zubeir amesema mwezi haujaonekana leo hivyo amewasihi waislamu kote nchini waendelee na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kutimiza siku 30 kama ilivyoekelezwa katika...
Ni jambo la kufurahisha sana kwa wakazi wa maeneo ya Kimara na viunga vyake kupata maji ya DAWASCO. Kimara ni moja ya maeneo ndani ya jiji la Dar ambako ilikuwa ukimuuliza hata mtoto mdogo kero ya...
Mama aliyedai alijifungua watoto mapacha na kuibiwa mtoto mmoja kwenye hospitali ya Temeke, amepingana na ripoti iliyotolewa na waziri wa afya Ummy Mwalimu inayosema mama huyo alijifungua mtoto...
Mwanamke akipita mbele ya ATM mashine ya kwanza Duniani.
Leo ni "50th birthday" ya mashine za kutolea hela, ATM baada ya mashine ya kwanza Duniani kuzinduliwa tarehe 02.07.1967 nchini Uingereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.