Kwani
JF-Expert Member
- Jan 12, 2016
- 455
- 562
JPM alisema kuna watu watahama mji wenyewe naona hili kwa asilimia 45% linaanza kutekelezeka.
Airtel wameliona hilo wameamua walete vocha za mia mbili
Coca-cola mmeona mia ni kubwa sana kwa mtanzania mnyonge baada ya kuamua kufuta bei ya 600 kwa soda mpaka 500
SWALI;Biashara ni mbaya au mnapunguza bei kurahisisha maisha ya mtanzania mnyonge.
mbona vyakula muhimu kwa wanyonge havishuki bei(unga na sukari)
@1998