Hivi Bila Kwaito Harusi si Harusi

Hivi Bila Kwaito Harusi si Harusi

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
7,520
Reaction score
6,517
Naomba nikiri kwamba uchezaji wa kwaito kwangu ni ziro/limenishinda kabisa.

Ila cha ajabu si harusi ya kilokole, kiislamu, kiprotestanti au kikatoliki kwaito lazima ratiba yake iwepo. Nauliza hivi bila kwaito sherehe ya harusi inakuwa sio sherehe!!?
 
Ebu siku moja wasiiweke kama haitakuwa harusi
 
Back
Top Bottom