Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba nikiri kwamba uchezaji wa kwaito kwangu ni ziro/limenishinda kabisa. Ila cha ajabu si harusi ya kilokole, kiislamu, kiprotestanti au kikatoliki kwaito lazima ratiba yake iwepo. Nauliza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nikupongeze tu Mheshimiwa Rais wangu wa JMT Dkt. Magufuli hasa kwa yale maamuzi yako juu ya Wanafunzi watakaopata ' Mimba / Ujauzito ' Shuleni ndiyo itakuwa basi tena Kwao Kielimu kwani siyo '...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
MH.RAIS , Salaam aleykum/Amani ya Bwana iwe nawe. Mh.Rais mimi ni mkulima wa Mahindi na mwaka huu niliongeza juhudi ya kulima kwa sababu ulituahidi na ukatoa maagizo kuwa Mkulima ana uhuru wa...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Natafta wakuni sapoti kwani mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita and i have video directing and edditing skills natafuta wakuni suport au management.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana nimeletewa makadirio yangu kuwa ninadaiwa Tshs.600,000 kwa ajili ya nyumba zangu mbili zilizo kwenye ploti moja. Mimi sikatai kulipa lakini ninachoomba wanionyeshe sheria ya kulipa hizo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu Wa kiume amemaliza diploma ya umeme 2015 pale Arusha Tech. Kwa sasa anafanya kazi kama Technician kampuni moja ya wahindi. Sasa kuna hizi nafasi za Tanesco walitangaza nilikuwa...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Ni bora hata tungekimbiza ndoo ya maji tukasema tunalowesha nchi ili kuleta tumaini kwenye kilimo, Ingepunguza gharama za kununua mafuta. Halafu huu mwenge mimi naona ni ushamba tu kwani ni mambo...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wandugu nafuatilia katika kamati ya kuleta sheria ya madini,hakika Tanzania inaeleke nchi ya ahadi ya asali na maziwa,big up waziri wa sheria kwa presentation na kujibu maswali kwa ufasaha sana na...
0 Reactions
5 Replies
775 Views
Wakuu, Kabla sijatoa hoja yangu, hebu wote tutafakari yafuatayo:- 1. Hivi ni mwanachuo gani aliyekuwa anasomea ualimu wa arts ambaye mwaka 2015 angeweza kujua kuwa hadi 2017 hii atakuwa ana...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Kutokana na sababu zilizo nje na ndani ya uwezo wangu nimenuia kubadili jina na kuongeza jina la mwanangu kwenye cheti cha kuzaliwa kinachotolewa na RITA. Jina la awali...
1 Reactions
10 Replies
15K Views
Walianza Wapenzi wa Simba baada ya Mwenyekiti wa Yanga(Manji) kushikiliwa na Vyombo vya usalama walitania sana ila leo Viongozi wa Simba Nao wapo chini ya vyombo vya Usalama wapenzi wa Yanga nao...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nko hapa standi ya mabasi ya mkoani ya Arusha. Nnachokishuhudia wakuu n hili wimbi la wakina mama na wakina dada weng mnoo wamekuwa wapiga debe hapa stendi cha kushangaza utaukuta n kabint kadogoo...
0 Reactions
6 Replies
869 Views
Dada mmoja ameniambia kuwa walikuwa wanawekewa mafuta ya taa ndani ya chakula ili kupunguza ashiki walipokuwa sekondary boarding school. Ndiyo ananiuliza je kuna athari atazipata kiafya kama...
0 Reactions
83 Replies
9K Views
"Stiegler" jina la kijerumani, na kikoloni na leo linatumika hata katika mpango wa umeme "stiegler's gorge" na hata kulipa umilikishi wa sehemu kwa stiegler's hivi hakuna majina ya kitanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeshindwa kuelewa na kuchanganua OPERATION inayo endelea KIBITI na RUFIJI...!! Mbona maelezo ya wakazi wa huko yanakinzana na taarifa na matukio yanayo fanywa na kusambazwa na jeshi la...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Asalaam wanajamvi.Alhamdulillah tumemaliza mwezi wa ramadhani salama.Nina neno kwa PBZ,huduma zenu haziridhishi kabisa na msongamano wa wateja ni mkubwa mno hasa tawi la malindi. Punguzeni kidogo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello JF, Nimeona mtandaoni, kuna Boards za Architecture, je Tanzania zipo?, I wish kama haipo, ianzishwe sasa wasanifu majengo wote waorodheshwe. Pia wawe na uwezo wa kuweka portfolio za kazi...
3 Reactions
39 Replies
8K Views
Raia wa Italia, Nico Valsesia amepanda Mlima Kilimanjaro na kuweka rekodi ya dunia ya kuupanda kwa saa 24 kutoka usawa wa bahari hadi kileleni urefu wa mita 5,895. Valsesia aliondoka Tanga jana...
6 Reactions
36 Replies
6K Views
Habarishwa zaidi
0 Reactions
0 Replies
584 Views
Serikali mkoani Tanga imepiga marufuku baadhi ya wakulima waliopo katika wilaya zinazopakana na nchi jirani kuacha mara moja kuwauzia wafanyabishara mahindi ya msimu wa mvua za masika kisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom