Hivi Bila Kwaito Harusi si Harusi

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Naomba nikiri kwamba uchezaji wa kwaito kwangu ni ziro/limenishinda kabisa.

Ila cha ajabu si harusi ya kilokole, kiislamu, kiprotestanti au kikatoliki kwaito lazima ratiba yake iwepo. Nauliza hivi bila kwaito sherehe ya harusi inakuwa sio sherehe!!?
 
Mbona ni rahisi mkuu,
Kwaito zipo tangu miaka ya 90 ,
Uchezaji wake ni rahisi, unafuata maadili na huburudisha,

Tizama wimbo wa brenda faso weding day
 
...Nauliza hivi bila kwaito sherehe ya harusi inakuwa sio sherehe!!?

Sherehe inaweza kufanyika bila kwaito..hiyo ni mbwembwe tu na kiburudisho
 
Back
Top Bottom