Hospitali ya Amana, mwanamke mmoja amedaiwa kugoma kutoka wodini baada ya kujifungua mtoto njiti wa jinsia ya kike na kuambiwa mtoto apelekwe Muhimbili kwenye huduma nzuri kwa watoto wa aina...
Najaribu kuwaza kwa sauti! Kama tu ku activate acount inachukua zaidi ya wiki mbili, je ningeomba mkopo si ndio ingechukua zaidi ya mwaka!
Kama mnataka rushwa ili kuweza ku activate account yangu...
Hivi kwanini viongozi wengi wa dini kwenye maombi yao mengi wanayofanywa hawapendi kutamka neo haki?
Mara nyingi viongozi wetu wa dini nchini wanapenda kuombea sana amani, umoja na mshikamono...
Kutokana na mvua kubwa zilizonyesha Tibet-China na kusababisha janga(video) tuamishe ikulu yetu haraka. Na wale wote wanaokaa kwenye kingo za mito maziwa na bahari wahikikisha wanaweka vidhibiti...
Wanajamii naomba kueleweshwa, je petroli ikichimbwa kuna hatua inapita na kuwa dizeli na mafuta ya taa, au petrol,dizeli na mafuta ya taa yanachimbwa kwenye sehemu tofauti tofauti?
Picha na Othman Michuzi Media Group
TPC yashinda tuzo ya taasisi za kutoa huduma. Shirika la Posta Tanzania (TPC) limeshinda tunzo ya maonyesho ya Sabasaba kwa taasisi za kutoa huduma. Tunzo hiyo...
Eneo la stend ndogo(Vifodi) lipo katika Mtaa wa Levolosi,Kata ya Levolosi Halmashauri ya Jiji la Arusha.Eneo hili lina jumla ya vibanda (Maduka) 394 yaliyojengwa kwa nyakati tofauti.Mwaka 1994...
Dr.Daniel Amen,aliwahi kutengeneza kanuni maarufu sana iliyojulikana kama 18/40/60.Katika kanuni hii alieleza kuwa mtu anapokuwa na miaka 18 huwa kila wakati anawaza watu wanafikiri nini juu...
Salaam
Mimi ni mdau mkubwa sana wa huduma hii ambayo imenisaidia mengi sana. Kwa siku za karibuni nimeshuhudia na kusikia mengi yanayonifanya niitafakari sana huduma hii ......kautafiti kangi...
Ninaomba msaada juzi nilipigwa tochi maeneo ya gogoni kibamba nikiwa speed 59 na maelekezo niliyopewa na CPI 4149 ni kuwa lazima nikalipie bank au kwenye mitandao ya simu ila isiwe maximalipo...
Namshauri Rais aende Kibiti akawape pole wafiwa waliotokea tokana na mauwaji yanaliyotokea nyakati tofauti hivi karibuni.
Naimani wengi wao walikuwa ni makada wa CCM na yeye ndye Mwenyekiti wao.
Nilipata nafasi ya kwenda kumsalimia baada ya kufika nyumbani kuiona familia yangu baada ya miezi kadhaa nikiwa mbali nao. Dada alianza kuugua ugojwa wa "msongo wa mawazo" baada tu ya miezi...
Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi amewasimamisha kazi kwa muda watumishi sita kutoka idara mbalimbali katika Halmashauri ya wilaya ya Lindi kutokana na kutoridhishwa na uwajibikaji wao kwenye...
Katika kutafuta kiki Ngeleja ametangaza kurudisha pesa aliyopewa na Ruge kiasi cha shs milioni 48.Je pesa hizo anamrudishia nani?
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Kuna suala la Polisi ambao wangekuwa wakifanya doria nyakati za usiku maeneo ya Kibaha kuanzia Maili Moja, picha ya Ndege na maeneo yake kwa Mbonde, kwa Matias, Mwendapole, kwa Mfipa, mpaka...
Kwako Mh Mwigulu Nchemba najua upo humu na huwa unapita pale upatapo nafasi.
Kama ulivyosikia mwingine kauwawa tena leo huko Kibiti kabla hata maumivu ya mauaji ya juzi hayajapoa. Toka haya...
Wakuu, naombeni kujuzwa vipimo kwa vitu vifuatavyo:
(1)Upana(kwa kawaida)wa kabati za vyombo milango mitatu.
(2)Upana wa kabati kubwa za nguo(nadhani pia zinakuwa milango mitatu).
(3)Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.